Je Drone inaweza kwenda umbali gani kabla ya kuisha chaji? Mfano niko Dar es salaam naweza peleka kifurushi Moshi na kurudi kabla ya chaji kuisha?
Je Drone inaweza kwenda umbali gani kabla ya kuisha chaji? Mfano niko Dar es salaam naweza peleka kifurushi Moshi na kurudi kabla ya chaji kuisha?
Drone nyingi zina dakika 25 za kukaa na chaji kuanzia Phantom 3 mpka phantom 4 ambayo ina dakika 28 za kukaa na chaji ila DJI marvic Air inakaa na chaji Dakika 30 ,
NOTE : DRONE IKIISHA CHAJI IKIWA JUU HAIANGUKI ITARUDI YENYEWE MAHALI ILIPOTOKEA KWAMAANA POINT AMBAYO ILIKUWA RECORDED KWEMYE MAP.
INARUDIJE??????
Ukiangalia Upande wa kushoto wa screen yetu utaona kuna buton imechorwa mshale na ina halama "H" kama tunavyojua halama H inatumika kwenye viwanja vya Helicopter so hiyo butone inaitwa Back home kama drone imepotelea huko na haujui iko wapi labda kamera imzeima ukibonyeza iyo buton drone hata kama iko umbali upi itarudi pale ulipo wewe kuna option mbili:
1: inategemea uliset vipi kwamba drone inapokuwa huko ulipo unapo press back home button ifanyenye au inalokata mawasiliano na remote ifanye nin, unaweza set kwamba ikirudi ifate iende ikatue popote remote ilipo kwamba hata kama ulihama poiti mahali ulipo yenyewe itakuja kukufata mahali umekaa na hyo remote hata kama uka panda gari ukaenda mita 500 toka pale mahali ulirushia drone itakufata. Na itatua hapo
2: labda uliset itue mahali ilikoondokea maana unaporusha drone huwa kuna kadada kana kwambia " The point has bee recoded check on the map" so huwa ina recod point zake inapopita
Na kurudi pale ilipoondoke hapa ni kwamba inapokula low batter au uliset kama ikipoteza connection na remote basi irudi home badala ya ku hover basi itarudi pale iliondokea
NOTE THAT: ::
DRONE INAENDA UMBALI WA KM 7 SEHEMU YENYE NAFASI NZURI KAMA HAKUNA MITI AU MAJENGO MAREFU KWAMAANA YAKUZUIA WAVE MAANA KWNYE DRONE KWNYE MIGUU YAKE KUNA ANTENA NA KWENYE REMOTE KUNA ANTENA
MISSION:
Unaweza panga mission kwenye drone yako kwakuchora point kwamba nataka hii drone ikitoka hapa ipite hapa ikiwa angani iwe kwenye Altitude ngapi na mita ngapi na iwe inakimbia kwa speed ya ngapi mph au ww utakavyo ona mfano:
Hapa tunataka kutengeneza waypoint zetu na kumbuka tunapokuwa tunafanya hiv inamaana drone itakuwa kwenye Autopilot kwamba itapita yenyewe kwenye izo point utakazo chora hapo kwenye map.
unaset unavyopenda kulingana na mission yako kwamba distance iwe ngapi na speed iwe ngapi
hapa unaweza ona point zetu kwamba tutatoka point A mpka point B kwakupitia hapa na hapa na ikifika sehemu flan iende juu fut ngapi na ikiwa kwenye altitude ngapi