Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
- Thread starter
- #41
Returning Home jinsi yaku apply watch
Hahahahahahah kaka kuna vitu vingi sana kwenye drone yani vingi na hata mm vingine bado nazidi kujifunza hahahahhKumbe sijui kitu, ngoja nikazane kufanya mazoezi na haka ka PHANTOM 3 Advance kangu, Ahsante kwa elimu ya bure mkuu
Najua kupeleka mbele, nyuma kushoto & kulia ,kumbe mambo mengi hivo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikazane mkuu, nikikwama nitakustua unipe maujanjaHahahahahahah kaka kuna vitu vingi sana kwenye drone yani vingi na hata mm vingine bado nazidi kujifunza hahahahh
Hahahahahahahahahahah eti wajua kupelekeka mbele nyuma hahah asee kuna operation nyingi sana ,ila kuna drone ya kampuni nyingine zile ni special for rally yani zile unaweza kugeuza upside down hizo ukipewa lazima tuikute juu ya mti, hahahahNajua kupeleka mbele, nyuma kushoto & kulia ,kumbe mambo mengi hivo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikazane mkuu, nikikwama nitakustua unipe maujanja
Juzi nilikuwa naipga shot kwenye ziwa tanganyika jamaa basi wakiona naipeleka ziwani mpka inapotelea wanaogopa wanasema itarudije haionekani kumbe hawajui mwenzao naelewa nn nafanya af hawajui ile ni nusu ya bombardier yani operation ya bombardier yote iko pale maana zote ni panga boi so radar iko pale ,warning zote ziko pale gps iko pale ,altitude naona pale ,speed naiona pale ,wind caiution display iko pale sasa walichanganyikiwa nilipoishusha kimo cha maji hahahahahha waha banaNajua kupeleka mbele, nyuma kushoto & kulia ,kumbe mambo mengi hivo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikazane mkuu, nikikwama nitakustua unipe maujanja
Mh hahaha mimi kwenye drone kurusha popote siogopi cha msingi najua siwezi idondosha kama upepo mkali siitaniambia kuna seting zipo kama unaweza weka unajua ,drone ni computerised machine yani ni ww tu ile ni nusu ya boing operation zake hahahahahMkuu ulikua huogopi upepo wa ziwani??
Ndio maana anayerusha drone anaitwa pilot na sio driver hahahahahahMkuu ulikua huogopi upepo wa ziwani??
hatari sanaNa pia wamefanya majaribio ya drone ya kubeba mtu majaribio hayo yamefanyika dubai
oi niachie namb yako ya wasap nna mavic platnam ila naon sjaivaHahahahahahahahahahah eti wajua kupelekeka mbele nyuma hahah asee kuna operation nyingi sana ,ila kuna drone ya kampuni nyingine zile ni special for rally yani zile unaweza kugeuza upside down hizo ukipewa lazima tuikute juu ya mti, hahahah
Drone ya bei ya chini nasemea zile zenye specification za kawaida ni bei gani?Drone ina tegemea kama ni drone ambazo ni DJI amabapo mara nyingi zinatumika ku shutia video kuna
DJI PHANTOM 3 PRO ilikuwa inauzwa dollar $ 1200 sasa waweza pata mpka dollar $ 800
DJI PHANTOM 3 ADVANCE
DJI PHANTOM 4
DJI PHANTOM 4 PRO hizi P4 series zilikuwa zinauzwa dollar $ 2300 sasa waweza pata hata kwa dollar $ 1700
DJI MAVIC PRO
DJI MAVIC AIR hizi ni toleo jipya la dji unaweza pata kwa mpka dollar $ 3000