Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

Uzi maalum: Share chochote kuhusu hobbies

jirani unanifurahisha tu unavyofurahi most post unacheka, you're the happiest member humu ndani, with a great sense of humour
Lovely 🙂 [emoji7]
Sema kwa kiswahili sijasoma jirani😁😁
 
Hii kazi yangu mpya nitafanya bird watching mpaka nichoke!
 
Back
Top Bottom