Uzi maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Sultan (Muhteşem Yüzyıl )

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,028
Tumechelewa lakini bado hatujachelewa, mambo yanazini kunoga Otoman Empire, Basi hii ni Thread yetu maalum wa kupashana kinachoendelea kwenye Tamthilia hii inayorushwa na kituo cha Azam media kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa nne usiku na marudio huwa ni saa saba usiku na saa tatu asubuhi kila siku.

Muhtesem-Yuzyil-690x460.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom