Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 760
- 1,445
Uzi huu ni maalum kwa wapenzi wa muziki wa rock; share chochote kinachohusu muziki wa rock tushirikishe au tujuze chochote kuhusiana na rock music.
Karibuni.
@military_Genius
Hizo mangoma kwa waswahili bado sana kuzielewanpo mwenyewe
@military_Genius
alaf ukutane na mavocalist machiz ndio kabisaKuna wale five finger death punch ni hatari.
Ila all in all ukikutana na guitarist kichaa ndo utapenda.
Hizo mangoma kwa waswahili bado sana kuzielewa
Waswahili wengi vichwa maji huwezi kuwakuta kwenye vitu complexwaswahilj tuwaulize kuhusu jamaa wa kigoma
@military_Genius
Waswahili wengi vichwa maji huwezi kuwakuta kwenye vitu complex
Ni sababu tu hizi ngoma hazipigwi kwenye radio stations zetu.Waswahili wengi vichwa maji huwezi kuwakuta kwenye vitu complex
nadhan ata ma dj wetu awazijuiNi sababu tu hizi ngoma hazipigwi kwenye radio stations zetu.
Hawazijui,ila zina ujumbe sana na vibe ya hatari...nadhan ata ma dj wetu awazijui
@military_Genius