Uzi Maalum Kwa Wanaopenda Kulakula

Wapemba wakimkamata aliyeanzisha huu uzi watamchakaza kwa kuonyesha vyakula waziwazi wakati wa mfungo.
 
mm napenda kula ila siwez, yaani unakuta napania ila sijawah maliza sahani labda nyumbn ambao wanajua size yang au labda kpnd nipo shuleee, na ni mwembamba kiasi kwamba kiasi kwamba naweza pita kwenye dirisha la griri, huku mtaaani wananiita magriri, maana nishawahi penya kwenye griri kwenda kuokota funguo.

Pole mdogo wangu njoo inbox nikupe fomula,
Hakika appetite itakuja na utaongezeka, hakuna mwembamba Duniani asikuogopee mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom