Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Dec 19, 2020 #2 Kila la kheri
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,940 Dec 19, 2020 #3 Kwamba wasiooa waje kuwatafuta hapa......?
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,241 Reaction score 54,759 Dec 19, 2020 #4 Unataka wangapi? Kichwa yako ya habari inasema "UZI KWA WANAWAKE AMBAO HAWAJAOLEWA" Kwanza nimedhani labda umewafungulia uzi wanawake ambao hawajaolewa ili wabadilishane mawazo😄😄
Unataka wangapi? Kichwa yako ya habari inasema "UZI KWA WANAWAKE AMBAO HAWAJAOLEWA" Kwanza nimedhani labda umewafungulia uzi wanawake ambao hawajaolewa ili wabadilishane mawazo😄😄
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,281 Dec 20, 2020 #5 Kilichonileta hapa ni kuja kusoma comment tu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,688 Reaction score 197,341 Dec 20, 2020 #6 Kila la kheri... Cc: mahondaw