NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,199
- 12,700
Habari za wikiendi wakuu.
Bila Shaka yu wazima wa afya kabisa, labda tu nisiwachoshe, nimeamua kuandika Uzi huu maalumu Kwa ajiri ya kujifunza ujasiriamali.
Mafunzo hayo nitayatoa hapa hapa kwenye huu Uzi cha msingi nikuchukua siti yako ukae mbele unipe masikio yako.
NITAFUNDISHA NINI?
Masomo nitakayo fundisha hapa Ni Ni jinsi ya kutengeneza..
* Sabuni ya maji
*Sabuni ya mche Aina zote unazozijua wewe
*Dawa za chooni, dawa ya kung'arisha marumaru pamoja na dawa za madoa I mean JICK.
*Utengenezaji wa shampoo
Huo Ni utangulizi tu hapo juu unadhani nimeeleweka nini namaanisha haya sasa twende kwenye somo husika.
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI LITA 40
Tutaanza na sabuni ya maji nikiona muitikio Ni mkubwa basi darasa hili nitafundisha mambo yote Bila hata hiyana yoyote.
SIFA YA HII SABUNI
Kung'arisha nguo Aina zote
Haipaushi nguo ,inaweza kutumika
Hata kuoshea vyombo na kuving'arisha.
.haipaushi mikono yaani haichubui mikono
Pia ina povu kama loteeeeeee!!
MAHITAJI
Sulphonic acid Lita 2, sless Lita 1, sodium sulphate nusu kilo, soda ash nusu kilo, maji Lita 40, rangi ya maji kijiko kimoja cha chakula, glycerine vijiko vitano vya chakula na kitu cha kukologea iwe mti au mbao
Pamoja pafyum.
JINSI YA KUTENGENEZEA
Andaa chombo cha Lita 40 au zaidi pamoja na mti wa kukologea
Anza kuweka sulphonic acid Lita mbili Ndani ya chombo hicho.
Kisha weka sless Lita Moja Ndani ya hicho chombo
Anza kukologa kuelekea upande mmoja mpaka mchanganyiko unakua
Kitu kimoja.
Kisha utaweka soda nusu kilo Ndani ya huo mchanganyiko huku ukiendelea kukologa kuelekea upande mmoja.
Hatua inayofuata weka sodiam sulphate nusu kilo huku ukiendelea kukoroga kuelekea upande mmoja mpaka uone mchanganyiko wako umekua kitu kimoja.
Anza kuweka maji Lita 40 kidogo kidogo huku ukikologa kuelekea upande mmoja mpaka utakapo ona mkorogo wako umekua kitu kimoja.
Weka glycerine vijiko vitano mpaka 6 na ukoroge
Weka rangi kijiko kimoja cha chakula kama unatumia rangi ya maji lakini kama Ni ya unga unaweza ukaweka kias kisha endelea kukoroga.
Weka pafyum yenye manukato mazuri ya kuvutia mteja wako katika sabuni ya Lita 40 unaweka pafyum kiasi cha 50mls inafaa kabisa
NB, kuna pafyum za Aina nyingi Mimi nakushauri utumie kati ya hizo
+ Lavenda, Queen, lifu, jasmine hizi Ni
Nzuri mteja wako lazima akuite tena.
BAADA YA KUMALIZA HAYO YOTE JUU HAPO WEKA SABUNI YAKO KWENYE VIFUNGASHIO NA UPELEKE SOKONI.
PIA NATENGENEZA SABUNI KWA ODA NAKULETEA POPOTE ULIPO NDANI YA MOROGORO NA NINATOA
MAFUNZO KWA ALIYETAYARI.
Formula yangu situmii chumvi.
*Nitaendelea hapa hapa jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.
KARIBUNI