Uzi huu maalumu kwaajili ya kujifunza Ujasiriamali

It's very informative. Una views 400+ its all that matters, viewers, na siyo comments.

Mimi nikianzisha uzi hua natarget ujumbe kufika kuliko comments na likes. Keep it up boss.
Asante sana mkuu
 
A
JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUNG'ARISHA MASINK

haya kama nilivyoahidi kuwa nitaendelea kutoa mafunzo hapa hapa huku nikipokea ODA ya sabuni ya maji pamoja na mtu kama anataka kujifunza.

Twende kwenye somo hapa nitaelezea jinsi ya kutengeneza dawa ya kung'arisha masinki kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza

MAHITAJI
Chombo kikubwa cha zaidi ya Lita 20, hydrochloric acid Lita 5, maji Lita 15, rangi nzuri ya njano, na pafyum.

JINSI YA KUTENGENEZA KWA LITA 20

Andaa chombo kikubwa cha zaidi ya Lita 20.

Kisha weka hydrochloric acid Lita 5 Ndani ya chombo hicho.

Kisha weka maji Lita 15 ina maana una changanya na hyo acid.

Kisha weka rangi hapa nakushauri weka rangi ya njano maana ina mvuto Kwa wateja .

Pia chagua pafyum yako nzuri lakini Ni vizuri zaidi kama ukiweka Aina ya pine, kiasi Ni 50mls.

Baada ya hapo changanya vizuri mkorogo wako Kwa dakika 5 hadi saba, hapo unakua upo tayari Kwa matumizi fungasha peleka sokoni.

Nitaendelea hapa hapa....
Asnt sn..ubarikiwe sn
 
habari za wikiendi wakuu???? Bila Shaka yu wazima wa afya kabisa, labda tu nisiwachoshe, nimeamua kuandika Uzi huu maalumu Kwa ajiri ya kujifunza ujasiriamali.

Mafunzo hayo nitayatoa hapa hapa kwenye huu Uzi cha msingi nikuchukua siti yako ukae mbele unipe masikio yako.

NITAFUNDISHA NINI???

Masomo nitakayo fundisha hapa Ni Ni jinsi ya kutengeneza..

* Sabuni ya maji

*Sabuni ya mche Aina zote unazozijua wewe

*Dawa za chooni, dawa ya kung'arisha marumaru pamoja na dawa za madoa I mean JICK.

*Utengenezaji wa shampoo

Huo Ni utangulizi tu hapo juu unadhani nimeeleweka nini namaanisha haya sasa twende kwenye somo husika.

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI LITA 40
Tutaanza na sabuni ya maji nikiona muitikio Ni mkubwa basi darasa hili nitafundisha mambo yote Bila hata hiyana yoyote.

SIFA YA HII SABUNI

Kung'arisha nguo Aina zote

Haipaushi nguo ,inaweza kutumika
Hata kuoshea vyombo na kuving'arisha.

.haipaushi mikono yaani haichubui mikono

Pia ina povu kama loteeeeeee!!

MAHITAJI

Sulphonic acid Lita 2, sless Lita 1, sodium sulphate nusu kilo, soda ash nusu kilo, maji Lita 40, rangi ya maji kijiko kimoja cha chakula, glycerine vijiko vitano vya chakula na kitu cha kukologea iwe mti au mbao
Pamoja pafyum.

JINSI YA KUTENGENEZEA

Andaa chombo cha Lita 40 au zaidi pamoja na mti wa kukologea

Anza kuweka sulphonic acid Lita mbili Ndani ya chombo hicho.

Kisha weka sless Lita Moja Ndani ya hicho chombo

Anza kukologa kuelekea upande mmoja mpaka mchanganyiko unakua
Kitu kimoja.

Kisha utaweka soda nusu kilo Ndani ya huo mchanganyiko huku ukiendelea kukologa kuelekea upande mmoja.

Hatua inayofuata weka sodiam sulphate nusu kilo huku ukiendelea kukoroga kuelekea upande mmoja mpaka uone mchanganyiko wako umekua kitu kimoja.

Anza kuweka maji Lita 40 kidogo kidogo huku ukikologa kuelekea upande mmoja mpaka utakapo ona mkorogo wako umekua kitu kimoja.

Weka glycerine vijiko vitano mpaka 6 na ukoroge

Weka rangi kijiko kimoja cha chakula kama unatumia rangi ya maji lakini kama Ni ya unga unaweza ukaweka kias kisha endelea kukoroga.

Weka pafyum yenye manukato mazuri ya kuvutia mteja wako katika sabuni ya Lita 40 unaweka pafyum kiasi cha 50mls inafaa kabisa

NB, kuna pafyum za Aina nyingi Mimi nakushauri utumie kati ya hizo

+ Lavenda, Queen, lifu, jasmine hizi Ni
Nzuri mteja wako lazima akuite tena.

BAADA YA KUMALIZA HAYO YOTE JUU HAPO WEKA SABUNI YAKO KWENYE VIFUNGASHIO NA UPELEKE SOKONI.

PIA NATENGENEZA SABUNI KWA ODA NAKULETEA POPOTE ULIPO NDANI YA MOROGORO NA NINATOA
MAFUNZO KWA ALIYETAYARI.

Formula yangu situmii chumvi.

*Nitaendelea hapa hapa jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.........

KARIBUNI
Upo morogoro sehemu gn
 
WHAT'S APP NO 0623246897

Formula yangu situmii chumvi.

*Nitaendelea hapa hapa jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.........

KARIBUNI
safi sana mkuu kwa moyo wako wa kujitolea kutufundisha!
 
habari za wikiendi wakuu???? Bila Shaka yu wazima wa afya kabisa, labda tu nisiwachoshe, nimeamua kuandika Uzi huu maalumu Kwa ajiri ya kujifunza ujasiriamali.

Mafunzo hayo nitayatoa hapa hapa kwenye huu Uzi cha msingi nikuchukua siti yako ukae mbele unipe masikio yako.

NITAFUNDISHA NINI?

Masomo nitakayo fundisha hapa Ni Ni jinsi ya kutengeneza..

* Sabuni ya maji

*Sabuni ya mche Aina zote unazozijua wewe

*Dawa za chooni, dawa ya kung'arisha marumaru pamoja na dawa za madoa I mean JICK.

*Utengenezaji wa shampoo

Huo Ni utangulizi tu hapo juu unadhani nimeeleweka nini namaanisha haya sasa twende kwenye somo husika.

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA MAJI LITA 40
Tutaanza na sabuni ya maji nikiona muitikio Ni mkubwa basi darasa hili nitafundisha mambo yote Bila hata hiyana yoyote.

SIFA YA HII SABUNI

Kung'arisha nguo Aina zote

Haipaushi nguo ,inaweza kutumika
Hata kuoshea vyombo na kuving'arisha.

.haipaushi mikono yaani haichubui mikono

Pia ina povu kama loteeeeeee!!

MAHITAJI

Sulphonic acid Lita 2, sless Lita 1, sodium sulphate nusu kilo, soda ash nusu kilo, maji Lita 40, rangi ya maji kijiko kimoja cha chakula, glycerine vijiko vitano vya chakula na kitu cha kukologea iwe mti au mbao
Pamoja pafyum.

JINSI YA KUTENGENEZEA

Andaa chombo cha Lita 40 au zaidi pamoja na mti wa kukologea

Anza kuweka sulphonic acid Lita mbili Ndani ya chombo hicho.

Kisha weka sless Lita Moja Ndani ya hicho chombo

Anza kukologa kuelekea upande mmoja mpaka mchanganyiko unakua
Kitu kimoja.

Kisha utaweka soda nusu kilo Ndani ya huo mchanganyiko huku ukiendelea kukologa kuelekea upande mmoja.

Hatua inayofuata weka sodiam sulphate nusu kilo huku ukiendelea kukoroga kuelekea upande mmoja mpaka uone mchanganyiko wako umekua kitu kimoja.

Anza kuweka maji Lita 40 kidogo kidogo huku ukikologa kuelekea upande mmoja mpaka utakapo ona mkorogo wako umekua kitu kimoja.

Weka glycerine vijiko vitano mpaka 6 na ukoroge

Weka rangi kijiko kimoja cha chakula kama unatumia rangi ya maji lakini kama Ni ya unga unaweza ukaweka kias kisha endelea kukoroga.

Weka pafyum yenye manukato mazuri ya kuvutia mteja wako katika sabuni ya Lita 40 unaweka pafyum kiasi cha 50mls inafaa kabisa

NB, kuna pafyum za Aina nyingi Mimi nakushauri utumie kati ya hizo

+ Lavenda, Queen, lifu, jasmine hizi Ni
Nzuri mteja wako lazima akuite tena.

BAADA YA KUMALIZA HAYO YOTE JUU HAPO WEKA SABUNI YAKO KWENYE VIFUNGASHIO NA UPELEKE SOKONI.

PIA NATENGENEZA SABUNI KWA ODA NAKULETEA POPOTE ULIPO NDANI YA MOROGORO NA NINATOA
MAFUNZO KWA ALIYETAYARI.

Formula yangu situmii chumvi.

*Nitaendelea hapa hapa jinsi ya kutengeneza sabuni ya mche.........

KARIBUNI
Ahsante sana kwa uzi mzuri ungeweka na bei za makadilio kabisa kwani huu ni ujasiliamali ili kwa mtu atakayependa kuaanza ajue kabisa mtaji wa kiasi gani utatosha.
 
Back
Top Bottom