S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 May 17, 2011 #1 nilimuuliza babu yangu uzee ni nini? Akanijibu! Uzee ni pale unapoambiwa na mpenzi wako"honey tupande chumba cha juu tukafanye mapenzi!" Wewe unajibu"hapana switi siwezi kufanya vyote viwili kwa pamoja! UZEE NI NINI?
nilimuuliza babu yangu uzee ni nini? Akanijibu! Uzee ni pale unapoambiwa na mpenzi wako"honey tupande chumba cha juu tukafanye mapenzi!" Wewe unajibu"hapana switi siwezi kufanya vyote viwili kwa pamoja! UZEE NI NINI?