Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Vipi Slaa na Josefina?
Puhhh yasini! hana hadhi hiyo, uchafu ule wa nini?
Vipi Slaa na Josefina?
Wacha kubwabwaja na kuhororoja, jibu swali, vipi Slaa na Slaa? si sawa na mtu na mjukuu wake? au hilo hamlioni?
Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Mbona huyo jamaa bado janki.
"Uzee Mwisho Chalinze" ndio "subject matter".
Vipi Slaa na Josefina?
kwa hiyo quick reference yako ikawa Slaa, huwa mfano hautolewi moja kwa intellectuals ingependeza ungeendelea na Mzee ruksa na bint wa Kigamboni, Kapten Komba (well spread in media), n wengine. But kumlenga Slaa why? huko kwenu mbona kuna wavamsuli wengiii ambao ungetuletea hapa as examples for the subject matter
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!
Wadau kama msemo maarufu kuwa uzee mwisho Chalinze mjini kilatu baby (Angalia picha) inajieleza. Swali ni kuwa Mkuu atakiweza chombo hiki au ndo vijana wa bodaboda watamsaidia?
Wacha kubwabwaja na kuhororoja, jibu swali, vipi Slaa na Josefina? si sawa na mtu na mjukuu wake? au hilo hamlioni?
Wewe ajuza sitaki kukuona nimepigwa sana Ban Kisa wewe