UZEE MWISHO CHALINZE (Angalia Picha)

Hiki kibibi mbona hakipigwi ban au kinatoaga libeneke kwa Mods Na Invisible

Wacha kubwabwaja na kuhororoja, jibu swali, vipi Slaa na Josefina? si sawa na mtu na mjukuu wake? au hilo hamlioni?
 
Tatizo lipo wapi? Happily married, mwenyezi Mungu awajalie ndoa ya mafanikio.
 
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!

yule ni mke wa sheikh farid kitambo wazanzibar wote wanajua
 
Marriage is the corner stone of Islamic life. Unafiki , ujinga ndio unapelekea watoto wetu kuishia jolly club etc wanachuuza miili.
 
Morning madam!! kumekucha, acha njozi.....
Nyie ndio wale ukipigana na Juma kisasi unalipiza kwa ndugu zake ambao hawahusiki kabisa na Subject Matter yenu!!!! very interesting!

"Uzee Mwisho Chalinze" ndio "subject matter".
 
pochi lake ndio linaloangaliwa si zaidi ya hapo
 
Naskia yule shehe wa zanzibar anayesema kalawitiwa na askari, serikali imetoa kauli bungeni kuwa inachunguza mwenendo wa tabia zake kabla ya kuwekwa mahabusu,mmhh kulikoni!!? mwenye kuzijua tabia zake aisadie serikali ili kuharakisha uchunguzi!

huo sasa uchokozi
 
NDO MANA HUOLEWI... YAANI MIDA HII UNATAKIWA UWE NA MWENZA UNAMSHUGHULIKIA MAANDALIZI MUHIMU. WEWE MUMEO NI jf tuuuuu LOH!! SHEEEDDDAAAH!!!!

Kweli kabisa, mimi sijaolewa na wala sita-olewa, mimi na mume wangu tumeoana.

Upo hapo ulipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…