Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaaam wakuu poleni namajukumu yakutwa Naimani sote tuwazima wa afya tele
Mimi Nikijana mzalendo Ninae umiza kichwa kila siku kwaajili ya taifa langu Tanzania Nimekuja na Uzi huu mahususi kupata ushauri Na kuungwa mkono Nawadau wapenda maendeo ususani vijana
Nipo katika mchakato wakutafuta vijana wenye dhamira Nania kama yangu walio tayari kijitolea kumsaidia mh raisi kuibadilisha Tanzania yetu kutoka katika umaskini usio kuwa na tija
Nimekaa nakuwaza sanaaa ninamana gani tunaweza kuwasaidia vijana kupata ajira kiuraisi bilakutapeliwaa Nakuzungushwa wenye elimu nawasio kuwa na elimu pia
Nimeona Nianzishe muundo wa serikali ya vijana ambayo haita bezi katika chama chochote kile muundo huo niwa
Raisi wavijana Tanzania Makamu wa raisi wavijana Tanzania Waziri mkuu wavijana Tanzania Waziri wa fedha wavijana Tanzania spika wa bunge lavijana Tanzania Nawabunge wavijana Tanzania watakao toka katika Mikoa yote Tanzania
Lengo lakuunda uongozi huu Nikuakikisha kwamba Tuna deel nachangamoto mbalimbali zinazo tukabili sisi kama vijana wa Tanzania nakuweza kuzitatua bila kuisubiri serekali
Uongozi huu utakuwa wakujitolea nahatutaitaji malipo yyote katika serekali lengo nadhumuni Nikujadili changamoto za ajira madawa ya kulevya na kujadili mbinu zitakazo weza kutuvusha sisi kama vijana kufikia melengo yetu
Ombi langu kwenu wa Tanzania vijana mlio tayari kushirikiana nami tuunde serekali hii Naomba mjotokeze Na muwe tayari kuumiza kichwa kwaajili ya kusaka maendeleo yetu kama vijana
Naimani wazolangu likimfikia mtukufu rais Nimsikivu Na atatupa baraka zote ili tuweze kuanzisha muundo wa serikali hii
Serekali hii itajikita kutoa elimu namna ya vijana kujitambua kutafuta fursa ndani nanje ya nchi
Kuwekeza katika kilimo viwanda Na ujasiriamali nk
Naomba Kuungwa mkono Nawadau wenye dhamira njema na Tanzania tuweze kumsaidia raisi wetu kuibadilisha Tanzania
Kwani hakuna mwenye hatimiliki ya Tanzania Tanzania niyangu niyako niyetu sote
Pia naomba ushauri wenu wadau wa jf bila kejeli wala dhihaka kwani mm nipo serious naswala hili naninadhamira thabit ya kuwakomboa vijana wenzangu Tanzania
MWISHO SIWEZI FAFANUA SANAA MUUNDO WASEREKALI HII KWA MAANDISHI KWANI UNAMLOLONGO MREFU SANAA LAKINI NADHANI KWA KUDADAVUA HIVI KWAUFUPI TUMELELEWANA VYEMA
Nawakaribisha watakao kuwa tayari kuungana nami tuweze andaa barua na kuifikisha serekalini kupatiwa ridhaa najamuhuri tuanze maramoja kazi ya
Kuitengeneza Tanzania mpya
Vijana nitaifa laleo tukijituma na kujikubali tunawezaa
Asanteni