Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,221
- Thread starter
-
- #1,721
Safi sana ninachoona hapo ni kuwa mxo bado ana muda mrefu kuishi uraiani.Maaskari wanapata warant ya kwenda kufukua ofini kwa kina mxo kutafta mwili wa nkothinat na wanakosa... inakua aibu kwa mondli ofisini kwake kwa kusemwa na wengine
Mangcobo anamshukuru mxo kwani aliwahi ofisini kwenda kuufukua mwili na kuuzika kwingine.
Sba anampelekea umbea ayanda kua sma hana mimba
Saiv naona mxo wako karibu na sba mmh... ikawa mzozo tena kati ya ayanda na mxo kwa mara nyingine kuhusu mapenzi mxo anamwambia ayanda aachane na sba kwani alishaoa.... ayanda anasema hawezi maaana sba ni.... kabla hajamaliza kuongea anaingia zweli anamuuliza ni nn maaana ushaoa ka vipi mwache sma kuliko kucheza na hisia zake
Nimebahatika ivyo vipengele tu
Its Pancho nana_
Sidhani kama ataamini,maana alishuhudia kwenye upimaji tumbo na mtoto kwenye utrasoundSafi sana mkuu.. sipati picha ayanda atakavyokwenda kwa smangele huku akijua ile siyo mimbaa... aisee atamkata makofiii ya hatarii
apo ndio patam... tena patam haswaaSafi sana mkuu.. sipati picha ayanda atakavyokwenda kwa smangele huku akijua ile siyo mimbaa... aisee atamkata makofiii ya hatarii
you are welcome dearthank you so much
Hahaaa sba anampenda sana ayanda tena alivyojua uongo wa sma alifurah mbaya maaana ameona ayanda anaenda kuwa wake mazmaSafi sana ninachoona hapo ni kuwa mxo bado ana muda mrefu kuishi uraiani.
Tena nataka amle na sba kanisa ayanda arudi kwa mkewe wakapeane mimba feki..
Akijaribu kumpa nazi sma ndio atauona moto wa zweli.
Sasa huyu sba kisa cha kupeleka umbea mwenzie aachike au?
Weeeh... hee ilikuaje hiyo au sma alicheza game na nesiSidhani kama ataamini,maana alishuhudia kwenye upimaji tumbo na mtoto kwenye utrasound
Vyovyote itakavyokuwa i stand with mxo 😂Hahaaa sba anampenda sana ayanda tena alivyojua uongo wa sma alifurah mbaya maaana ameona ayanda anaenda kuwa wake mazma
Natamani bifu la mxo na la ayanda lianze upya (bifu la kugombea pisi kalii) 😁
Ndio walicheza mchezoWeeeh... hee ilikuaje hiyo au sma alicheza game na nesi
nilijua tu 🤣🤣Vyovyote itakavyokuwa i stand with mxo 😂
Huyu mwanamke hafai kabisaNdio walicheza mchezo
Nurse aliweka clip ya kuonyesha katoto kapo tumboni kanacheza
Pia alivaa tumbo fake,likawa linaonekana kitovu
Yaan ogopa mwanamke anayejifanya mstaharabuHuyu mwanamke hafai kabisa
Kabisa yaniYaan ogopa mwanamke anayejifanya mstaharabu
Bora umpate machepele unajua ndio tabia yake
Yeah ugonjwa huo umepunguza ngozi yake nzuri kwa kiasi kikubwa.
Lakini bado ni mrembo sana mkuu
Asante kwa update mkuuAyanda akiwa chumbani na smangele,anamlazimisha apandishe pajama aliyovaa ili mradi ashuhudie kama ana mimba ya kweli au ya uwongo hii ni baada ya kuambiwa na sibahle kwamba mke wako anakudanganya
So smangele atachukia baada ya kuambiwa apandishe pajama na kuondoka chumbani kuelekea sebuleni ambapo yupo manzuza na aunt yake Ayanda
So wakina manzuza watauliza kulikoni ,Ayanda atasema nilikuwa nataka kujua kama mimba ya sma kama ya uongo au ya ukweli ,Kisha sma atadakia na kubadilisha mada kwamba ugomvi wetu si kuhusu mimba Bali ni ishu ya Ayanda kutembea na wanawake wengine lakini aunt atamuuliza sma mbona sasa kama mimba yako ni ya ukweli
Mbona mtoto asikiki akipiga mateke
Sma ataishia kujibu tu kwamba mtoto huwa anapiga mateke akijisikia.
Baada ya mangcobo na mxolisi kugundua kwamba mondli amefahamu kuhusu mauaji ya nkosinathi,wanaamua kuutoa mwili wa nkosinathi kwenye ofisi ya panel beater na kuufukia sehemu Kisha wanashauriana kuhusu kumtumia sms manzuza kumjulisha sehemu ulipo mwili wa mtoto wake marehemu .
Nosipho akiwa njiani anatembea anakutana na mondli ,Kisha mondli anaomba kuongea nae kwa muda kuhusu mambo mabaya waliofanya mama na kaka ake ,lakini nosipho anakataa kata kata na kuwatetea lakini mondli anamwambia utapata kujua ukweli hivi karibuni.
Baada ya manzuza kupata ujumbe wa sehemu alipozikwa nkosinathi ,anamtaarifu mondli ambaye mara moja anaanza shughuli ya kwenda eneo la tukio na kufukua
Baada ya kufukua mabaki ya mwili yanaenda kupimwa vinasaba na kujulikana kwamba ni ya nkosinathi
So baada ya hapo manzuza analia sana
Nosipho akiwa nyumbani anamface mama ake na kumuuliza kuhusu kuusika kwake kwenye mauaji ya nkosinathi ,lakini kabla ya hajajibu anamwambia nilikuwa nahisi tangu muda tu kwamba nyie ni mashetani wewe na mxolisi na ndio maana ulikuwa unamwota sana usiku nkosinathi,Kisha baada ya hapo nosipho anaondoka akiwa analia.
Nosipho anaelekea kwa mondli na kumwambia amsamehe kwa kutokumwamini kwa maana ameshawajua wauaji wa nkosinathi ghafla wakiwa wanaendelea na maongezi anatokea mama ake bandile ,so nosipho anashangaa kumwona pale na machozi yanamtoka na anaamua kumwambia mondli mbona ulikuwa unanidanganya kwamba hujui alipo kumbe upo nae humu ndani kabla mondli ajajibu nosipho anaondoka akiwa bado analia.
Umetisha sanaaaaAyanda akiwa chumbani na smangele,anamlazimisha apandishe pajama aliyovaa ili mradi ashuhudie kama ana mimba ya kweli au ya uwongo hii ni baada ya kuambiwa na sibahle kwamba mke wako anakudanganya