Uzalendo wetu wana chit-chat upo wapi siku hizi?

Uzalendo wetu wana chit-chat upo wapi siku hizi?

Change is not a change until you change kwahiyo kwakuwa mstari wa mbele ni muhimu sisi wenyewe tukaacha kuandika thread zisizo na mashiko hapo itakuwa somo hata kwa wageni nao hawataleta thread zisizo na mashiko.....ila tuanze sisi kwanza

Yap, good advice! we have to run on it.
 
Ahsante kwa ushauri,ila mkuu mtoa mada take note kuwa hakuna jukwaa linachukiwa kama chi chat,kila siku watu wanafungua thread kututukana.
 
ni kweli kabisa....ndo maana wengine tunaishia kushinda MMU nako kuna watu wanakuharibu nina mpango kuhamia jukwaa la wakubwa

Tutahama mpaka lini tuweke discipline kwa wanaoharibu hiyo ndiyo dawa!
 
ni kweli kabisa....ndo maana wengine tunaishia kushinda MMU nako kuna watu wanakuharibu nina mpango kuhamia jukwaa la wakubwa

Kuwa kiraka kama watu8 best....unakuwa na majukwaa kadhaa including MMU na CC maana yapo active 24/7.
 
Back
Top Bottom