britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Mbona hiyo cha mtoto, kuna Ile ya centimeter 3 kwa pande Mara km kadhaa ingiza kwa akauntTeh teh nyie ndio mnashtuka leo kwani zile triolini 1.5 mlizipeleka wapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na Lugola naye mambo powa?Huyu Lugola sijaipata kwa undani stori yake maana naona inatrend sana kwenye mitandao halafu mimi sijui chochote.
Mwenye kunidokezea kidogo tafadhali.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo CCM tu hata upinzani wanasiasa wote wale waleNdugu yangu tunaposema CCM hata aje maraika toka mbinguni ukimpa uongozi ndani ya hiko chama anakua kibaka vilevile
Siyo CCM tu hata upinzani wanasiasa wote wale waleNdugu yangu tunaposema CCM hata aje maraika toka mbinguni ukimpa uongozi ndani ya hiko chama anakua kibaka vilevile
HakikaWanasiasa ndio viumbe Hatari zaidi kuwahi kutokea duniani
Amini maneno yako mkuu mpaka tuwape madalaka watutumikie wakiwa hivi nawao itabidi tumlilie Mungu pengine kunakitu tulimkosea kama taifa tuombe atupunguzie ukali wa adhabuSiyo CCM tu hata upinzani wanasiasa wote wale wale
Hold on kidogo ...ni kwamba wanamuita mambo safi huyu jamaa ? Lugola ?Kumbe na Lugola naye mambo powa?
Mbona hiyo cha mtoto, kuna Ile ya centimeter 3 kwa pande Mara km kadhaa ingiza kwa akaunt
Hahaha ngoja nakaa kimyahahahahahahaha wewe Britanicca umekunywa konyagi nini mbona unatapika hivyo, utashukiwa na wazalendo shauri yako..
Hahaha ngoja nakaa kimya
Wewe si miongoni wa hao milion 8Kuna mtu anaweza kuwa Anahubiri uzalendo anahubiri kuwa waadilifu, lakin ukiona au ukibahatika kujua mambo yake utabaki mdomo wazi,
Maafisa wa TAKUKURU wana mengi wanajua,
Maafisa wa ngazi za juu sana idara ya upelelezi wanajua mengi sana ila basi tu
Kuna baadhi ya mambo ya wahubiri uaminifu na uadilifu ukayajua utaanguka ulipo na usinyanyuke,
Siamini kama waziri mtembea na katiba anafanya niliyooneshwa,
Sikuamini kabisa kabisa na bado nashangaa, mbona sasa hakuna hatua muhimu zinachukuliwa dhidi yake,
Kuna mkuu wa wazalendo ndo sasa ameniacha mdomo wazi upigaji wake ni wa hatari sana, anajificha ndani ya kivuli fulani hivi na anafanikisha kweli maana Ana watetezi zaid ya million 8,
Ukitaka kujua mengi utajikuta ndani ya chumba fulani peke yako ukiwa huna kumbukumbu umefikaje utakachoona ni ngozi ya chatu aliyekuzunguka na magamba gamba yake,
Tanzania nakupenda sana
KumbeBora ukae kimya mkuu wazalendo watu hatari sana, mimi siku hizi hata keyboard imekuwa ya moto...