Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,013
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako

