SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,080
- 75,440
Upuuzi tu wa RashidiView attachment 1602846
Huyu ndiye mtu tuliyemhitaji
Anafurahi na sisi na analia na sisi
Kawe iliteswa na wakora wa kisiasa kwa miaka kumi
Asante Gwajima unawapa heshima wana kawe
You deserve to be a leader, kura zote za ubunge kawe ni kwako