Uzalendo kwa vitendo

Uzalendo kwa vitendo

Kuiteka akili ya mtanzania na kuiaminisha kuwa ww ni mtetea wanyonge au mpenda haki ni rahisi sana kuliko hata kumtongoza mke wa mtu mwenye migogoro ya kila aina ndan ya nyumba yake[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Ni vitu viwili tofauti hebu tafakari tena
Nyerere kajichanganya tu hapo kupata huduma sawa na wananchi wengine ili aonekane yupo sawa na raia wa kawaida umemsifia. Mke wa JPM katibiwa sewahaji sawa na wananchi wengine umeponda, sioni tofauti au ulitaka mkewe aende kutibiwa India kama kawaida ya viongozi
 
Bado unachanganya vitu viwili tofauti Bufa
-kwa maneno yako Nyerere kajichanganya je huyo mwingine naye kajichanganya?
-Nyerere yuko bukheri wa afya huyo mwingine je?
-Nyerere kafanya kwa utashi huyo mwingine je?
BTW kwenye ile post hakuna popote nilipoongelea matibabu nje ya muhimbili (kanisome tena) zaidi sikuponda bali nilikosoa, tofautisha pia kwenye hilo
 
Pamoja na mapungufu yake yote kama kiongozi angalau aliamini na kutenda kile alichokiamini. Siyo hii mianasiasa ya sasa inahubiri hichi halafu inatenda hichi.
Kweli kabisa Mkuu! hata kama unaamini ujinga ni bora uusimamie na kila mtu aelewe unachokiamini. Hawa ndg zetu wa sasa hujui hata wanaamini nini. Huwezi jua ni wajamaa, wabepari au lah. wapo wapo tu kudanganya, unafiki, kujikweza yaan tabu tupu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]....'hawa ndugu zetu wa sasa...!'[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kweli kabisa Mkuu! hata kama unaamini ujinga ni bora uusimamie na kila mtu aelewe unachokiamini. Hawa ndg zetu wa sasa hujui hata wanaamini nini. Huwezi jua ni wajamaa, wabepari au lah. wapo wapo tu kudanganya, unafiki, kujikweza yaan tabu tupu
Nilikuwa mdogo sana mwishoni mwishoni mwa utawala wake lakini nimebahatika kusoma karibu maandiko yake yote na kusikiliza hotuba zake nyingi. Unaweza kusikia hata mitetemo ya uthabiti na uhalisia katika sauti yake. Alikuwa na falsafa yake na aliitetea kwa nguvu zote tena kwa vitendo na kabisa kabisa aliamini kuwa siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kama alivyoiainisha katika Azimio la Arusha ndiyo ilikuwa njia sahihi ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru. Na kila mtu alijua hivyo!

Sisemi kuwa alikuwa sahihi. Sisemi kuwa hakuwa na mapungufu. Sisemi kuwa alikuwa Mtakatifu. La hasha! Ninachosema ni kwamba aliamini alichoamini na alisimama tisti kukitetea kwa sababu kama huwezi kukitetea unachokiamini KWA VITENDO hata kama ni kizuri namna gani we ni mnafiki tu na hakitafanikiwa.

"Rushwa ni adui wa haki. Sitatoa wala kupokea rushwa." Ahadi hii ya TANU na baadaye CCM ndiyo inampambanua zaidi. Alikuwa na madaraka makubwa na angeweza kujichotea hazina yote kama angetaka lakini kwa vitendo kabisa yeye na familia yake waliamua kuishi maisha ya kawaida tu. Hii ilikuwa/ni nadra sana kwa kiongozi wa bara hili la giza lililojaa viongozi walafi ka majibwa. Alichukia rushwa kweli kweli tena kwa VITENDO.

Leo hii huwezi kujua tunafuata falsafa gani. Huwezi kujua malengo yetu kama taifa ni yapi. Huwezi kujua priorities zetu ni zipi. Huwezi kujua kama taifa tunajaribu kufanya nini na itatuchukua muda gani kufikia malengo yetu. Huwezi kujua tunajaribu kujenga jamii ya aina gani. Hata huwezi kujua tunaongozwa na katiba gani. Huwezi kujua kama tunakwenda mbele kinyumenyume au tunarudi nyuma kimbelembele. Ni vurugu tupu. Sitashangaa kama tukiishia kuzunguka jangwani miaka arobaini mara sabini. Mungu na Atusaidie!
 
Falsafa ya
Kunyorosha nchi
Kuombewa
Kujenga viwanda (sio vya wazawa wala vya serikali)
 
Mkuu umenena! !
10years mtu amakuwa madarakani hata kijarida hajaandika kutuonyesha nini mtazamo wake katika utawala wake!
 
Haitatokea tena!
Wasasa wako hivi...
bn.jpg
a.jpg
bn.jpg
b.jpg
d.jpg

Yeye alikuwa hivi...

index.jpg
nyr.jpg
vv.jpg
nn.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom