Huyo jamaa mwenye nyekundu kama namuonaona sana Chanel Ten.
Itakuwa ni yule mganga anakipindi channel ten mkuuHuyo jamaa mwenye nyekundu kama namuonaona sana Chanel Ten.
Nimekuwa interested kumtazama maana hapo anaoneka yeye tu, mavazi ni tofauti na wenzake na urefu pia ni tofauti na wenzake!!Itakuwa na yule mganga anakipundi channel ten mkuu
Huyo huyo!Huyo mrefu kwenda chini ?
Lol....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwani wangapi wamevaa nyekundu hapo mkuu?! Sitaki kuvunjika mbavu mie saa hizi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo mrefu kwenda chini ?