Uyu ndie tunamtaka 2015

Uyu ndie tunamtaka 2015

sema "hivi huyu ndio rais unayemtaka 2015", kwa mimi sisiemu wakimuweka huyu CHADEMA tunaua tembo kwa ubua.Huyu lake jiko na mambo yetu yaleee sio urais.
 
Mbona ninasikia huko UN ameshindwa ku-DELIVER BAN KI MOON ameamua kumtemna!
Kwanini Tanzania ndiyo aonekane kufaa? Hivi atajisikia je kama akiwa RIAS akaenda kuhutubia UN ambako ANAFAHAMU FIKA WNAFAHAMU ALICHEMSHA WAKATI akiwa UN.

Well, Tanzania kila kitu kinawezakana, ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU .......
 
Hatuongozwi tenj na gamba kama wameshindwa wanaume ndani ya gamba mw_ana+mk-e ataweza nini?. Gamba hiloooo!
 
huyu akiwa rais nahamia afghanstan, acheni jokes asije kuharibu ikulu kama makinda alivyoharibu bunge. inferiority complexes
 
noma kweli, ikitokea ameolewa si noma kishenzi...... ahhaa acha kuhoji we mtu mzima bwana
 
Kama wewe na wenzako mnamtaka huyo demu juu yenu. mimi na wenzangu tunamtaka huyu hapa 2015 kutoka Bunda.
Wassira1.jpg
 
Mie mbona naona kama anacheza mpira? je siku hizi sifa za kua rais ni kusakata kabumbu?
Ndo yaleyale akianza kuhudhuria sana kwenye michezo mtasema anapenda michezo kuliko mambo mengine ya maendeleo
Be serious guys
 
Back
Top Bottom