Uyole raha sana waku

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,167
Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/=
Totall 5,200/=
Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu.
Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
 

Attachments

  • 20250527_195120.jpg
    346.7 KB · Views: 19
Konyagi za uyole ni feki zinatengenezwa na wachina pale isyesye , viwanja vya uyole hadi sai ni feki tupu , mbeya pazuri, kwenda city pub, wairubi , ndio utakunywa og au ukanunue kwa chonjo au Obama , ukivuka mafiati hadi mbalizi kote feki Tu Lebo za tra zinachapishwa tunduma na kuwekwa kwenye vifuniko kama kawaida hapo hakuna jipya
 
Hiyo ndiyo Tanzagiza kunywa at your own risk .wenginne kasichana tunakanywa wiki kupunguza athari za kufa figo!
 
Hiyo bei imenishangaza sana
 
Dah hii nchi Sasa si watu wanaathirika sana kiafya ...
 
Umesema kweli hizo mambo zinatengenezwa mageton mafundi wapo tunduma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…