babyclassic
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 227
- 39
pole sana ila jua kila karib lina makusud yake rud tafuta kibarua huku ukisomaa
Kama huwezi kushauri ni bora upite kimya, shida haiangalii umri ndugu yangu!.
jamani mmenishauri lakin kwa jinsi moyo wangu nilivo lipokea hili swala nashindwa hata kuonge japo nijielezee hali yangu coz najikuta nalia tu paspo kuongea kitu kama leo nimeenda kumueleza kiongozi mmoja wa halimashauri nimeshindwa kuongea yaan jaman achen shida hizi bas tu nibora ningeli fariki mimi ila alie nizaa abaki maake naona ninalo giza kubwa sana mpaka nakosa hamu ya kula nikulala tu jaman mungu kama kweli yupo naomba anipumzishe tu hata kwa ajali yoyote daahh
ajiite nani mjane au?Miaka 25 hupaswi kuujita yatima wewe ni mtu mzima simama kama mwanaume tetea maisha yako.
mjinga ni wewe unayeandika ujinga kisa tu wewe umefanikiwa, kua akili acha kukua makalio kijanaAmka wewe,Miaka 25 Una Mlalamikia nani?
Je sisi Ambao Hatukupata hata huyo Mama Mlezi?
Acha ujinga,wewe ni Mtu Mzima sasa.
kazi zipo nyingi Mjini.
Ndugu kwanza unafeli hapa unaposema bora kufa kuliko kuishi, ni kauli za watu waoga na wanyonge.manumbu asante ndugu yangu ila naumia sana nafsi nibola kufa kuliko kuendelea kuishi