Butho Mtenzi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 331
- 22
unataka kujifanya hujui lema kaishia kidato cha pili ?.
mbona vijisenti kaenda mpaka harvad university, kafanya nini kama si kuhujumu uchumi wa tanzania na kutumia kodi zetu kwa kwenda kutalii marekani badala ya kusoma
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mkakati wa vyama vya siasa kusaka mtaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu umoja wa wanawake wa ccm tanzania (UWccmT) jana jumapili uliandaa mkutano na wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu vya mkoa wa dodoma uliofanyika katika ukumbi wa kilimani ili kupunguza nguvu ya chadema ambao nao walikuwa wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani humo siku hiyo hiyo. UWccmT iliandaa magari kwa ajili ya kuwabeba wanafunzi kuelekea kilimani na baadaye kuwarudisha vyuoni. Dada mmoja kutoka udom aliyehudhuria mkutano huo anasema yeye alienda kwa ajili ya kula na kunywa na alitimiza adhma yake kama alivyokuwa amepang kwa kuwa ccm waliandaa mapochopocho kibao. Ajenda kubwa ya mkutano huo ilikuwa ni kuwasihi wanafunzi wasigome kwa kuwa wanasiasa hawatafukuzwa chuo bali ni wao ndio wataathirika. Kulikuwa pia na ajenda ya kuipasha chadema ambapo mtoa mada mmoja ambaye sikuweza kupata jina lake alimponda godbless lema na kusema ameishia kidato cha pili na kwamba alikuwa muosha magari hivyo wasomi hawapaswi kumsikiliza.(sina hakika kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu na siasa). UWccmT waliwasihi akina dada hao wanunue kadi za ccm ambazo zinapatikana vyuoni lakin wanafunzi waliwauliza inakuwaje chadema wanagawa bure na wao wanauza, walijibiwa kuwa cha bure hakina thamani. Duru zinasema kwamba ccm waliamua kuandaa mkutano na wanafunzi wa kike kwa kuwa wao ni wepesi kushawishika ukilinganisha na wanaume. Mwezi novemba mwaka jana rais kikwete alipohudhuria mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha dodoma aliwataka wanafunzi.wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Mkoa wa dodoma una vyuo vikuu 4 udom, st. John, mipango na cbe..
I like the form two issue, it's not a bad start for the incumbent MP, Mr. Lema. He can pursue further education easily up to the university level with no problem at all, just matter of time if he so wishes he can slowly move towards Phd.
Nadhani itumike hoja ya nguvu na siyo nguvu ya hoja ni vizuri hao vijana wawaelimishe vizuri mademu wao umuhimu wa mabadiliko na sio kutumia vitisho kuwabwaga chini kwa sababu maswala ya mapenzi ni maridhiano na mapatano musiwanyanyase kijinsia kazeni buti kuwaelimisha umuhimu wa uzalendo na vijana kuwa chachu yamabadiliko na ulinzi wa rasilimaliwanaao gawa kadi za bure ni ccm na mkuu kitengo hiki siku hizi ni mwalimu wa kata jina lake alikua anaitwa sabuni na kuhusu suala hili makamanda washaa anza kulifwatilia mbowe katangaza harakati itaanza dodoma kipindi hiki mapabano yataongozwa na regia na mdee ,chiku,pia lema ashaanza kazi pamoja na regia watu huwa wanajipanga .vijana wa udom wanangaza kuwa wote wenye mademu wanaaende kuwashangilia mafisadi wapigwe chini
Kweli issue si elimu ya mtu, utendaji ndo muhimu zaidi, ndo maana pale Njombe kaskazini walichagua mbunge ambaye si tu kaishia darasa la pili, bali hajui kusoma wala kuandika! Achilia mbali yule profesa wa kule Tanga.Form 2 sio issue. Issue ni nini unawafanyia wapiga kura wako na wananchi kwa ujumla. Kwani zuma wa bondeni kasoma hadi la ngapi? Kina prof mahalu, dr balali na phd zao wamefanya nini?
Unataka kujifanya hujui Lema kaishia kidato cha pili ?.
Anayejiita waziri mdogo kuliko wote pia mbunge wa viti maalum tanga ndiye alitamka