UWT ya CCM inasherehekea wapi siku ya Wanawake Duniani?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,377
Reaction score
271,799
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Duniani, ambako wamama wengi wanaadhimisha siku hii kwa shamra shamra, makongamano na mambo kadha wa kadha, nimejitahidi kuangaza huko na kule ili kuona kama wanawake wa CCM wanaoitwa UWT walipokusanyika kuadhimisha siku hii lakini sijawaona.

Pamoja na kwamba UWT ni kama taasisi ya wamama wazee, lakini bado hao wazee ni sehemu ya wanawake wa dunia, hawakutakiwa kubaki majumbani, walipaswa kujitokeza hadharani.

Kama kuna aliyewaona mahali wanaadhimisha siku hii, anionyeshe ili taarifa zao tuziweke hapa JF.
 
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Duniani , ambako wamama wengi wanaadhimisha siku hii kwa shamra shamra , Makongamano na mambo kadha wa kadha , nimejitahidi kuangaza huko na kule ili kuona kama Wanawake wa CCM wanaoitwa UWT walipokusanyika kuadhimisha siku hii lakini sijawaona .

Pamoja na kwamba UWT ni kama Taasisi ya Wamama Wazee lakini bado hao wazee ni sehemu ya Wanawake wa dunia , hawakutakiwa kubaki majumbani , walipaswa kujitokeza hadharani .

Kama kuna aliyewaona mahali wanaadhimisha siku hii anionyeshe ili taarifa zao tuziweke hapa JF .
Wanasherehekea kupiti TBC 1 😃😃😃
 
Tanzania inapendeza, ndiyo maana huwa wanasema heli afe baba kuliko kufa mama.Mimi nasema Leo Watanzania wote wanapendeza
 
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Duniani, ambako wamama wengi wanaadhimisha siku hii kwa shamra shamra, makongamano na mambo kadha wa kadha, nimejitahidi kuangaza huko na kule ili kuona kama wanawake wa CCM wanaoitwa UWT walipokusanyika kuadhimisha siku hii lakini sijawaona.

Pamoja na kwamba UWT ni kama taasisi ya wamama wazee, lakini bado hao wazee ni sehemu ya wanawake wa dunia, hawakutakiwa kubaki majumbani, walipaswa kujitokeza hadharani.

Kama kuna aliyewaona mahali wanaadhimisha siku hii, anionyeshe ili taarifa zao tuziweke hapa JF.
Ebana we! UWT wenzio wana wiki nzima ya siku kuu hii wamefanya mikutano na sherehe kila kata, wamekusanya wamama na wametoa na mpaka zawadi kwa wamama segerea huku watu wametoka na hotpot na sare za siku ya mwanamke, jana wamefanya event Ilala na wenzio wako serious na hili na kwao ni siasa kubwa na hapa ndio wanapoanzia kampeni.

kama kampeni ingekuwa soka basi wao wanaongoza kwa possession, tabu iko kwetu tunaosubiri Tume itangaze tarehe ya kuanza harakati. UWT na serikali ni chupi na tako katika siku kuu hizi na zingine zinazohusisha wamama na wale wanaoitwa maendeleo ya jamii ndio waratibu. Picha zao tuko nazo
 
wamefanya kwa siri ?
 
wamefanya kwa siri ?
sio kwa siri sherehe za kiserikali wao wanazitumia kutimiza malengo yao, nje unaona ni za serikali lakini ushiriki na uratibu wa UWT angalia jana @ilalayetu ndio utaona, lengo lao ilikuwa kila kata kuleta watu 1,000 katika kuazimisha siku ya wanawake Dar es Salaam. Wameweka network katika mikoa yote kila utakapoona sherehe leo jua ni UWT mpaka ya Chadema Mwenyekiti wa chama chao ndio kahutubia
 
basi haya , bali mimi naona na kusikia ya bawacha tu
 
Back
Top Bottom