UWT ya CCM inasherehekea wapi siku ya Wanawake Duniani?

UWT ya CCM inasherehekea wapi siku ya Wanawake Duniani?

basi haya , bali mimi naona na kusikia ya bawacha tu
Script umewekewa uone ya bawacha, ili usikie presidaa kwa level yako, wale wasio access mitandao ambao ndio wengi wao wanaona live UWT. angalieni hizi siasa za nchi hii vizuri CCM hawalali wao kila tukio dogo wao wanashambulia kweli kweli na nguvu yao ni mitaani sio mitandaoni, ni kule walipowapiga kura wao, hata huo mkutano wa Bawacha amini nakwambia waliokuja na Mwenyekiti wao kama sio nusu basi wameteka media hawajakosea katika propaganda.
 
Huyu mama kaitenga ccm na wanaccm kaambua kuambatana na chadema na kikundi kidogo cha wala asali akiamini hicho kikundi na chadema ndio watampa kura za urais na kufanikisha ushindi wake.

Lakini hajui ccm hawashindwi kupiga kura hata kwa hashim rungwe na ikachafua hali ya hewa ya uchaguzi. Inawezekana anawachukulia poa ccm sababu anaamini anawamudu. Ila hata JK hao hao ccm walimgeuka.
 
Script umewekewa uone ya bawacha, ili usikie presidaa kwa level yako, wale wasio access mitandao ambao ndio wengi wao wanaona live UWT. angalieni hizi siasa za nchi hii vizuri CCM hawalali wao kila tukio dogo wao wanashambulia kweli kweli na nguvu yao ni mitaani sio mitandaoni, ni kule walipowapiga kura wao, hata huo mkutano wa Bawacha amini nakwambia waliokuja na Mwenyekiti wao kama sio nusu basi wameteka media hawajakosea katika propaganda.
Sisi wenyewe tuko mitaani lakini hatuwaoni au ndiyo yale ya kuvaa sare ukumbini kuogopa aibu ?
 
Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Duniani, ambako wamama wengi wanaadhimisha siku hii kwa shamra shamra, makongamano na mambo kadha wa kadha, nimejitahidi kuangaza huko na kule ili kuona kama wanawake wa CCM wanaoitwa UWT walipokusanyika kuadhimisha siku hii lakini sijawaona.

Pamoja na kwamba UWT ni kama taasisi ya wamama wazee, lakini bado hao wazee ni sehemu ya wanawake wa dunia, hawakutakiwa kubaki majumbani, walipaswa kujitokeza hadharani.

Kama kuna aliyewaona mahali wanaadhimisha siku hii, anionyeshe ili taarifa zao tuziweke hapa JF.
waliwakilishwa na Yule mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom