Uwoya azimia mara nne

Wana JF
Irene Uwoya alikuwa akizimia kila akizunduka mpaka kuzua maswali na mshangao kwa waombolezaji walio kuwa wakiomboleza ana kwa ana na wengine waliokuwa wakifuatilia kwenye runinga.Angalau Wema Sepetu zimia yake inaeleweka kwamba alikuwa anajigi jigi na marehemu.Hebu niambie we ungekuwa mume wa IU ungeichukuliaje hii hali?

Mnafiki mkubwa huyo angekuwa na upendo wa dhati asingefanya sherehe ya ubatizo wa mwanaye tena baba yake kampeleka polisi mwandishi wa global.
 
Wana JF
Irene Uwoya alikuwa akizimia kila akizunduka mpaka kuzua maswali na mshangao kwa waombolezaji walio kuwa wakiomboleza ana kwa ana na wengine waliokuwa wakifuatilia kwenye runinga.Angalau Wema Sepetu zimia yake inaeleweka kwamba alikuwa anajigi jigi na marehemu.Hebu niambie we ungekuwa mume wa IU ungeichukuliaje hii hali?

kwani wewe hujui kuwa I.U ameduu na The Great?
 
wale wasichana wote wa the great atakuwa kawafan ya.
pia inaonyesha alikuwa anawasaidia kwa namna moja au nyingine,
hivyo acha wafu wawazike wafu wenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom