Uwongo wa cecafa bonanza cup huu hapa

Uwongo wa cecafa bonanza cup huu hapa

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
kwa maelezo yasiyo kweli eti nchi inayoandaa mashindano ya cecafa inagharamikia na chama hicho si kweli kama ni kweli pelekeni zanzibar kagame cup kama mnazo hizo hela.
na kama mnazo mbona hatuoni mkiandaa mashindano ya vijana?
 
Kwa uendeshaji huu, lazima CECAFA ife tu.

Kwanza itabidi warudi kwenye vitu vya msingi. Wanataka timu nyingi wakati pesa hawana. Kwa nini usiwe kwa club bingwa ya nchi pekee? Hilo likifanikiwa wakapata wadhamini ndio waangalie kuongeza timu lakini kuwe na kanuni zilizowazi kabisa. Sio kuangalia nani ataingiza pesa nyingi mlangoni.
 
Tatizo cecafa ni mali ya mosonye,na ubunifu ni ziro
 
Back
Top Bottom