habari wana jamii
kwanza huduma za vifurushi zime panda, kwa mfano kile kilichokua kinauzwa 995 sasa hivi ni 999,
hiyo sio case sana, leo baada ya kuamka sikua na kumbukumbu simu yangu yenye line ya tigo nimeiweka wapi,nika i bip kwa simu ya voda, baada ya mlio kuita na kuipata nikaikata ile ya tigo, baada ya kama sekunde 5 hivi nikapata msg kutoka tigo kwamba nimetumia sekunde 6, sikuamini, nika piga tena kwa line ya voda nika ikata nikapokea text nimetumia sekunde 8,nikapiga tena na kukata nika pata text nimetumia sekunde 27,nikafanya tena nikatumia sekunde 13,ndio nime elewa sasa hivi kwamba kuna gharama ambayo anaingia mpigiwaji wa simu endapo hato ipokea ile simu na kuamua kuikata,huu ni uwizi, na kama mnavyoona hapo juu gharama zina vary, sijajua kigezo gani wanatumia,