Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Pengine tunalichukulia jambo la wahudumu hao kuwa wanatabia hiyo bila kujua kuwa wapo pale kibiashara ya mwajiri wao si kwa kujiuza wao. Inasemekana wengi wao siku hizi wanawaume zao na kuna walioolewa ila wapo pale kikazi, na mazingira ya kazi yao hata iwe biashara yo yote mteja ni king. Wenye uelewa mdogo basi tuwaache.
Wahudumu wa vinywaji wako vizuri kibiashara kuliko wahudumu kwenye biashara nyingine mtaja kana kwamba unabembeleza kununua utakuwa yuko busy kwenye facebook au kuongea kwenye simu wakati unasubiri kununua kitu.