Uwivu Mama Watoto, Nusra Usababishe Mauaji!!!

Uwivu Mama Watoto, Nusra Usababishe Mauaji!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Nlishazoea Tabia yake Ya Kuchunguza Simu Yangu Na Kuwatusi Wanaonipigia Hasa Kama Ni Sauti Ya Kike Ndo Kabisaaa....Atatukana Matusi Yote Unayoyajua

Kama Kawaida Wikend Hii Alinibana Sana Nitoke Nae , Nikaona Hisiwe Tabu..Nkaruka Nae Kiwanja Changu Cha Kila Siku..Joto Ni Pale Alipokuja Muhudumu Anayenihudumia Kila Nikiwa Hapo

Kwakwel Huyu Dada Nina Mazoea Nae Sana Nashindwa Kuelewa Siku Hiyo Aliingiwa Na Nini Si Ndo Akaja Akaniita ''Dear''.....Wee! Palizuka Vagi Ambalo Sijapata Kuliona Maishani

Nashukuru Walinzi Waliwahi Na Kumtoa Nje Waifu, Bahati Mbaya Dada Wa Watu Aliumizwa Baada Ya Kupigwa Na Kiti....Hivyo Bado Natuliza Hii Kesi Kwani Alishaipeleka Polisi

Ntawataarifu Kinachoendelea Wakuu!

Ahsante Jigo
 
na wewe kwanini uliokota mwanamke wa uswahilini na kumfanya mkeo!
 
Kama Inasaidia Ntakuwa Poa Sana Chief Maana Hali Ni Mbaya!

Ongea na matron wake wa harusi kwani hilo ni jukumu lake kuhakikisha bibiharusi wake haachiki, siyo tu kukaa high table na maharusi
 
Ongea na matron wake wa harusi kwani hilo ni jukumu lake kuhakikisha bibiharusi wake haachiki, siyo tu kukaa high table na maharusi

Hatujafanya Harusi Chief!....Nimelipa Mahari Nusu Nkapewa Mtoto!
 
!
!
uliyataka na wewe.......ungemnunulia castle ungemix na kojo, angezima unatoka zako kiulaiiiini.
 
wengi ila mimi huwa napambana...hata kariakoo natembeza makofi!kidogo ameanza kutia adabu....

hahahah!...Kumbe Makofi Yanasaidia!... Umenifunza Kitu Chief, Lakin Hii Tabia Hata Wanawake Wa Masaki Wanayo...
 
!
!
uliyataka na wewe.......ungemnunulia castle ungemix na kojo, angezima unatoka zako kiulaiiiini.

hahahah..Chief Ndo Nilikuwa Ktk Hatua Ya Kupewa Huduma Hata Kuagiza Ilikuwa Bado!...Kojo Si Lingemtoa Akili Kabisa?
 
Khaaa kumbe tupo wengi mwenzio tar moja nilitoka na mamsap huwa tunatoka Mara Kwa Mara na huwa tunaenda hapo na mhudumu Ni huyo huyo. Bwana we Dada katihudumia vizuri na smile LA nguvu nusu SAA imepita nasikia wife anachemka yaani am Mimi hakuna MTU ananikera km msaliti huyo Dada kila akipita unamuangalia tu. Nikashangaa eenh nakuona jicho limekutoka au nimuite Meneja wake nimuambie sauti anapandisha taratibu mikaona hapa ntaadhirika nikatoka zangu kaunta nikalipa nikamuacha analalamika tu huko
 
Back
Top Bottom