Uwivu Mama Watoto, Nusra Usababishe Mauaji!!!

Uwivu Mama Watoto, Nusra Usababishe Mauaji!!!

Wivu ni ugonjwa, kama unajua anawivu sana kwa nini umpeleke kwenye baa uliyozoeleka. Ungeenda nae sehemu ambayo hufahamiki wala kuzoeleka.
 
hahahah..Chief Ndo Nilikuwa Ktk Hatua Ya Kupewa Huduma Hata Kuagiza Ilikuwa Bado!...Kojo Si Lingemtoa Akili Kabisa?

!
!
dah.......mkuu pole mno bana kama hali ndio hiyo. Pole mno mkurugenzi. Kama uko Dar nenda nae Aika Kinondoni au kama uko moro nenda nae kahumba na kama uko dom nenda nae matako bar. Wahudumu mabaunsa watamfurahisha mbona.
 
Nadhani huyo wife yupo hapa JF. Mimi nina viwanja vya kwenda na wife na vile ambavyo najiachia kwa huru ambavyo kamwe simuonyeshi. Viwanja ninavyokwenda na wife nipo serious na wala sizoeani na wahudumu
 
ututaarifu kinachoendelea ili iweje, mtaarifu msimamizi wako wa ndoa
 
kuna filamu moja ya kibongo nimeiona juzi katika basi inaitwa Chausiku,,,,,,,imeigizwa hao mabinti wa uswazi na utata wao.

dah.. ile filamu niliiona kwenye basi safarini kuelekea Tanga.. aisee wale mabinti ni mwisho wa matatizo... mara nyingi mabinti wa vile hupata mabwana wapole sijui kwanini
 
Ahaaa ndio mchezo wako huo eeeh

Nadhani huyo wife yupo hapa JF. Mimi nina viwanja vya kwenda na wife na vile ambavyo najiachia kwa huru ambavyo kamwe simuonyeshi. Viwanja ninavyokwenda na wife nipo serious na wala sizoeani na wahudumu

Inabidi uanze kufatiliwa kimya kimya
 
kuna filamu moja ya kibongo nimeiona juzi katika basi inaitwa Chausiku,,,,,,,imeigizwa hao mabinti wa uswazi na utata wao.
si umemuona chausiku alivyoenda kumdunda mtu siku ya harusi na roho yake ikawa kwatuuuuu!uswahilini bana...
 
hahahah!...Kumbe Makofi Yanasaidia!... Umenifunza Kitu Chief, Lakin Hii Tabia Hata Wanawake Wa Masaki Wanayo...
kwani umesahau kuwa wanawake mwalimu wao ni mmoja tena kipofu!!!
 
Khaaa kumbe tupo wengi mwenzio tar moja nilitoka na mamsap huwa tunatoka Mara Kwa Mara na huwa tunaenda hapo na mhudumu Ni huyo huyo. Bwana we Dada katihudumia vizuri na smile LA nguvu nusu SAA imepita nasikia wife anachemka yaani am Mimi hakuna MTU ananikera km msaliti huyo Dada kila akipita unamuangalia tu. Nikashangaa eenh nakuona jicho limekutoka au nimuite Meneja wake nimuambie sauti anapandisha taratibu mikaona hapa ntaadhirika nikatoka zangu kaunta nikalipa nikamuacha analalamika tu huko

Wakuwa Nao Makini Sana Hawa Chief!Ikibidi Kuhama Sehemu Uliyoizoea Kwa Mda!
 
Wivu ni ugonjwa, kama unajua anawivu sana kwa nini umpeleke kwenye baa uliyozoeleka. Ungeenda nae sehemu ambayo hufahamiki wala kuzoeleka.

Sikutegemea Kama Yangehamia Bar..Ila Sasa Nimejifunza Nitaweka Mipaka Sehem Za Kuwa Nae!
 
Khaaa kumbe tupo wengi mwenzio tar moja nilitoka na mamsap huwa tunatoka Mara Kwa Mara na huwa tunaenda hapo na mhudumu Ni huyo huyo. Bwana we Dada katihudumia vizuri na smile LA nguvu nusu SAA imepita nasikia wife anachemka yaani am Mimi hakuna MTU ananikera km msaliti huyo Dada kila akipita unamuangalia tu. Nikashangaa eenh nakuona jicho limekutoka au nimuite Meneja wake nimuambie sauti anapandisha taratibu mikaona hapa ntaadhirika nikatoka zangu kaunta nikalipa nikamuacha analalamika tu huko

Ila wanawake tujifunze busara zinaitajika sana kuwathibiti wanaume na sio kupingana na uhalisia or nature yao,kwa mawivu haya
 
ulichemsha Mkuu....unatakiwa use na baa maalum kwaajili ya wife tofauti na ulizozoeleka wewe
 
Back
Top Bottom