dah kwel binadam tunatofautiana,,yaan wewe unahitaj kupunguza damu mm nahita iongezeke doh
mkuu hivo vyote nmefanya lakn wap hii mara ya nne sasa naishiwa damu, mpaka nahis nakufKama unahitaji kuongeza damu siyo kazi kubwa ndugu.
1. Hakikisha unakunywa maji ya kutosha kila siku, usisubiri dehydration (kukaukiwa) kiasi cha mkojo kuwa wa njano
2. Usikose matunda kwenye mlo wako wa siku, lakini kadiri iwezekanavyo kula matunda in an empty stomach. Usile matunda wakati unabugia ugali au wali.
3. Usikose mboga za majani kwenye mlo wako wa siku, alafu zipikwe vizuri..
4. Epuka kula vyakula vya kukaanga sana na mafuta. Mimi napenda kula vyakula vya asili na napika kwa kuchemsha badala ya kukaanga. Ukija kwangu hukosi vitu kama viazi, karoti, mchicha, ndizi.
5. Epuka vileo na uvutaji wa sigara na vitu vingine vinavyoambatana na hivyo.
6. Epuka kunywa soda mara kwa mara.
Kwa mtazamo wangu naona kama hauna ugonjwa unaokusumbua, kuongeza damu ni rahisi sana tena kwa gharama ndogo sana. Ishi maisha ya asili, epuka fast food hazisaidii sana.
kunyw juice ya malimao mkuu utakuw poaKuna sehemu nilipima nimeambiwa damu damu yangu ni nyingi ipo 22
Damu ikiwa nyingi inakuwa nzito!!! Umenitisha as nina tatizo la damu kuzidi mara kwa mara!!wingi wa damu au kwa lugha ya kitabibu ni Haemoglobin(Hb)!
Kipimo chak huwa katika SI Units za gm/dl i.e grams per deciliter
Kazi ya Haemoglobin ni kubeba Oxygen kwenda sehemu mbali mbali za mwili na kiungo muhimu kinachoitaji Glucose na Oxygen nyingi ni Ubongo ila hata misuli huitaji oxygen ili kuunguza glucose ili uweze kupata Nguvu e.g Hata gari uitaji air/oxygen kuunguza Mafuta ili gari lipate nguvu ya kutembea.
Ndo maana ukiwa na damu chache/Hb ndogo unakua mchovu unasikia kizunguzungu na wakati mwingine hata kuzimia.
Normal Hb level utegemeana sana sana na jinsia e.g kwa mwanamke Normal level yao iko chini zaidi ukilinganisha na wanaume.
Pia normal levels utegemeana na teknolojia inayotumika mahabara moja na nyingine!
Ili si kuchanganye sana chukua kwamba normal Hb level ni 12-16.5gm/dl
Damu yako inaweza kupungua iwapo unaumwa kwa mda mrefu,Kupoteza damu sana e.g ajali au kwa wamama wakati wa kujifungua au wanawake wanaoingia period zilizopitiliza kawaida,tatizo la kutokula vyakula vyenye madini chuma kama mboga za majani na maini.
Damu chini ya 12g/dl kwa wanaume au 11g/dl kwa wanawake hili ni tatizo huitwa Anaemia
Damu ikiwa chini 6g/dl utaitaji kuongezewa damu au wakati mwingine ukipoteza damu nyingi ambayo imepunguza 2g/dl kutoka kwenye normal yako itakubidi kuongezewa damu.
Damu juu ya 6gm/dl---11gm/dll kama haikupi shida yoyote inaweza kutibiwa kwa kula vyakula vyenye madini chuma(Iron) kama mboga za majani,maini n.k au ukatumia dawa za kisasa zenye madini chuma ndani.
Damu nyingi ambayo inatishia afya yako kwa kitaalamu Polycythemia ni pale unapokua na Hb juu ya 16.5gm/dl kwa mwanamke au 18gm/dl kwa mwanaume.
Damu hii inakua nzito kiasi kwamba inakua sluggish kwenye mishipa na inaweza kuganda na kuenda kuziba mirija kama ya ubongo na inaweza kukupa stroke.
Unaweza kulinganisha hii na maji na Oil kipi ukimwaga kitakua kinatembea kwa urahisi.
Ngoja niishie hapo nsikujaze na mambo ambayo hayatakusaidia!
kwa sasa nakaribisha maswali!
mkuu hivo vyote nmefanya lakn wap hii mara ya nne sasa naishiwa damu, mpaka nahis nakuf
yaan mkuu mpaka kaz nashndwa kufanya je minyoo inamaliza damu halaf hiyo beetroots kwa mwanza inapatikana wapUmeshawahi kutumia juice ya beetroots? Ile nasikia ni kiboko kwa kuongeza damu
Imeeleweka sana na asante kwa mchango wako,wingi wa damu au kwa lugha ya kitabibu ni Haemoglobin(Hb)!
Kipimo chak huwa katika SI Units za gm/dl i.e grams per deciliter
Kazi ya Haemoglobin ni kubeba Oxygen kwenda sehemu mbali mbali za mwili na kiungo muhimu kinachoitaji Glucose na Oxygen nyingi ni Ubongo ila hata misuli huitaji oxygen ili kuunguza glucose ili uweze kupata Nguvu e.g Hata gari uitaji air/oxygen kuunguza Mafuta ili gari lipate nguvu ya kutembea.
Ndo maana ukiwa na damu chache/Hb ndogo unakua mchovu unasikia kizunguzungu na wakati mwingine hata kuzimia.
Normal Hb level utegemeana sana sana na jinsia e.g kwa mwanamke Normal level yao iko chini zaidi ukilinganisha na wanaume.
Pia normal levels utegemeana na teknolojia inayotumika mahabara moja na nyingine!
Ili si kuchanganye sana chukua kwamba normal Hb level ni 12-16.5gm/dl
Damu yako inaweza kupungua iwapo unaumwa kwa mda mrefu,Kupoteza damu sana e.g ajali au kwa wamama wakati wa kujifungua au wanawake wanaoingia period zilizopitiliza kawaida,tatizo la kutokula vyakula vyenye madini chuma kama mboga za majani na maini.
Damu chini ya 12g/dl kwa wanaume au 11g/dl kwa wanawake hili ni tatizo huitwa Anaemia
Damu ikiwa chini 6g/dl utaitaji kuongezewa damu au wakati mwingine ukipoteza damu nyingi ambayo imepunguza 2g/dl kutoka kwenye normal yako itakubidi kuongezewa damu.
Damu juu ya 6gm/dl---11gm/dll kama haikupi shida yoyote inaweza kutibiwa kwa kula vyakula vyenye madini chuma(Iron) kama mboga za majani,maini n.k au ukatumia dawa za kisasa zenye madini chuma ndani.
Damu nyingi ambayo inatishia afya yako kwa kitaalamu Polycythemia ni pale unapokua na Hb juu ya 16.5gm/dl kwa mwanamke au 18gm/dl kwa mwanaume.
Damu hii inakua nzito kiasi kwamba inakua sluggish kwenye mishipa na inaweza kuganda na kuenda kuziba mirija kama ya ubongo na inaweza kukupa stroke.
Unaweza kulinganisha hii na maji na Oil kipi ukimwaga kitakua kinatembea kwa urahisi.
Ngoja niishie hapo nsikujaze na mambo ambayo hayatakusaidia!
kwa sasa nakaribisha maswali!
Mkuu jaribu kwenda hospitali binafsi ufanye vipimo zaidi. Kuongezewa damu mara nne si jambo la kawaida.MIMI pia mkuu damu inapungua nmepima sicklecell sina nimeongezewa damu mara nne na sasa naona dalili zilele kuchoka moyo kwend kasi, kizunguzungu nikiamka au kuchuchumaa kwa mda mref...X-ray nilipiga ikaonyesha moyo umekuw mkubwa pia FBP nimepima iko normal,,,,sas damu inapungua nann.. matunda mboga za majan nmekula sana yaan nmefata ushaur wa daktar lakn bado tu...nisaidien wakuu
pole sana kwa shida ya upungufu wa damuyaan mkuu mpaka kaz nashndwa kufanya je minyoo inamaliza damu halaf hiyo beetroots kwa mwanza inapatikana wap
Check magonjwa nyemeleziugonjwa nilionao kwa sasa nikwenye viungo kama mikononi kwenye maungio nasikia kama vtu vnasagana pia mgongo ukikaa kdogo ukijinyoosha unasikia kha kha kha kwenye kiuno pia hata kweny vdole vya miguu na mikonon
Ndo maana hata rates zao ziko chini!Imeeleweka sana na asante kwa mchango wako,
Swali: Wanawake uingia period na wana bleed inakadiliwa ni nusu kikombe cha chai jee ni mechanism gani inahusika ku fulfil damu iliyopotea kwenye hedhi?
Shukrani mkuu.Ndo maana hata rates zao ziko chini!
Pili damu wanayopoteza haitishi kiasi cha kuweza kushusha sana Damu labda isiwe Normal i.e Kiwango chake na siku zake zipitilize.
Isitoshe process nzima ya utengenezaji damu iki detect damu kushuka inaangalia kama una viambata i.e madini chuma hivo inatengeneza cell damu za kutosha kulipiza zile zilizopotea
Kama hauna madini chuma ya kutosha au folic acid hauna mwilini utengenezaji huu utakwama!
Imeeleweka sana na asante kwa mchango wako,
Swali: Wanawake uingia period na wana bleed inakadiliwa ni nusu kikombe cha chai jee ni mechanism gani inahusika ku fulfil damu iliyopotea kwenye hedhi?
yaan mkuu mpaka kaz nashndwa kufanya je minyoo inamaliza damu halaf hiyo beetroots kwa mwanza inapatikana wap

Asanteh sana kwa fafanuzi makini mkuu.Niliwahi kuelezwa na daktari kwamba wale wanaotoa damu salama huwa wanatoa takriban nusu lita. Mara baada ya kutoa damu, ndani ya masaa 24 kama atakunywa maji ya kutosha na kula vyakula vinavyotakiwa basi anakuwa amerudisha body fluid (majimaji ya mwili) katika ujazo ule ule. Isipokuwa, kuna zile chembechembe tatu zinazounda damu yaani white blood cells, red blood cells and plateless zenyewe zinajirejuvinate (zinajirudisha kwenye kiwango chake baada ya wiki tatu. Ndiyo maana baada ya kutoa damu, unaweza kwenda tena kutoa damu baada ya mwezi mmoja bila madhara yoyote.
Kwa kusema hivi, mwanamke anayetoa damu nusu kikombe cha chai wakati wa hedhi hicho ni kiwango kidogo sana na anaweza kurejesha ndani ya siku chache sana. Hakuna madhara yoyote kama afya yake iko sawa