Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Jan 18, 2012 #21 Kwenye kifo mkuu hakuna cha mjeshi wala nani....hasa inapotokea kupoteza mtu aliekuwa bado jamii inamhitaji kwa namna moja au nyingine. pia mazingira yaliyosababisha kifo yanaweza kuchochea majonzi / vilio
Kwenye kifo mkuu hakuna cha mjeshi wala nani....hasa inapotokea kupoteza mtu aliekuwa bado jamii inamhitaji kwa namna moja au nyingine. pia mazingira yaliyosababisha kifo yanaweza kuchochea majonzi / vilio
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Jan 18, 2012 #22 Ng`wanakidiku said: Umeniheppisha!! na kunichakachua kicheko changu! Click to expand... mbona vijembe tena wazee..! ila huyo ni mjeshi wa kike..! umeshawahi kumuona baba ako analia..?
Ng`wanakidiku said: Umeniheppisha!! na kunichakachua kicheko changu! Click to expand... mbona vijembe tena wazee..! ila huyo ni mjeshi wa kike..! umeshawahi kumuona baba ako analia..?