GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,216 Reaction score 1,982 Aug 19, 2015 #1 Kijiswali kinanisumbua! Kinyozi alikuwa na saluni yake gorofani, akaamua kuhamia chini maana wateja wanapata tabu kupanda na kushuka ngazi, akaweka tangazo: 'KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI' Wateja wakamkimbia, je kosa lake lipi?
Kijiswali kinanisumbua! Kinyozi alikuwa na saluni yake gorofani, akaamua kuhamia chini maana wateja wanapata tabu kupanda na kushuka ngazi, akaweka tangazo: 'KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI' Wateja wakamkimbia, je kosa lake lipi?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,649 Reaction score 57,042 Aug 20, 2015 #2 Hahahaha
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Aug 20, 2015 #3 Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii
FENtastic JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 6,780 Reaction score 10,553 Aug 26, 2015 #4 cute b said: Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii Click to expand... hahhaah umeme ukikatika zinatumia jenereta pia???
cute b said: Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii Click to expand... hahhaah umeme ukikatika zinatumia jenereta pia???
Kiluuj JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 692 Reaction score 278 Aug 26, 2015 #5 Network searching.......
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Aug 27, 2015 #7 Hah hah, angeenda baraza la kiswahili (BAKITA) wamsaidie kuandika bango lenye kiswahili kisicho na ukakasi, ona sasa wateja wamekimbia!
Hah hah, angeenda baraza la kiswahili (BAKITA) wamsaidie kuandika bango lenye kiswahili kisicho na ukakasi, ona sasa wateja wamekimbia!
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Aug 27, 2015 #8 cute b said: Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii Click to expand... hizo saluni huwa inakuwa bei gani
cute b said: Hahahaaaa ila zipo salun zinazonyoa chiniii Click to expand... hizo saluni huwa inakuwa bei gani
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Aug 28, 2015 #9 hazole1 said: hizo saluni huwa inakuwa bei gani Click to expand... Burwee
Asili Tanganyika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 571 Reaction score 82 Aug 29, 2015 #10 Taifa gani lisilo na wateja wa kunyoa chini? Hahaaa natania wakuu.
JMWAKA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 739 Reaction score 653 Aug 30, 2015 #11 cute b said: Burwee Click to expand... Bureee he he he he