OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Mkuu umeelezea vizuri! Embu nisaide chanzo ktk hali ifuatayo:-
X na Y wanapendana sana! Wanachat vizur, maongezi yao ya kupendeza kwakweli! Kila mmoja anapenda uwepo wa mwenzie, lakini wakifika 6 kwa 6 yule Y (ke) ananyong'onyea kabisaaaa! Yaani gogo la ukweli! Unapiga kiki hata kujishikilia mwenyewe hawezi! Na ukipiga kimoja tu, hatoi tena!
Mkuu siwezi kujibu kama one plus one juu ya hili as binadamu tunatofautiana sana kwenye response to our stimuli kuna ambao anataka yeye ashughulikiwe tu apate scores basi,kuna ambaye anataka akushughulikie wewe kwanza yeye bdae na kuna anayetaka mwende hatua kwa hatua mpaka mfike ukumbini pamoja!!!!
Nadhani aweza kuwa kati ya wapendao kufikishwa na yupo so emotionally weak that akifika mshindo ni mpaka usingizi,wa hivi akikutana na wewe mpenda ligi yaani gonga huku nipige pale kuna hii nikwaruze ile aaaaargh atakuboa tu must!!!!!!!!!!
Wadada wataongezea mkuu