Hivi Zembwela wa Mizengwe,Uswazi na Jay Milions ni huyuhuyu? Kuna mtu nilimwambia akawa anabisha kuwa wa kwenye Mizengwe ni mwingine. ufafanuzi please.
Ni mzuri anaapoöngelea mambo mepesi mepesi ndo maana anafit zaid kwenye uswazi kuliko supermix, unapompa kaz kuchambua mambo mazito unagundua ni mweupe sana!