Jamani wadau naomba kufahamishwa mambo machache hasa dhidi ya wasomi wetu, nimepata tetesi kuwa Pr. Anna Tibaijuka na Dr wetu aliyekuwa UN kwamba waliondolewa kwa sababu ya uwezo mdogo wa kushughulikia maswala makubwa ya umoja wa mataifa na kwamba Dr wetu ameweka historia kwa kuhudumu only only one year na haijawahi tokea tangu miaka mingi iliyopita. Lengo ni kuona tunakwenda wapi cos kama Pr anachemka na yeye ndiye anafundisha wanavyuo wetu hali itakuaje kwa wanafunzi, najaribu kumuangalia Pr. Muhongo hali ni tete, sijui mdau mwenzangu wa maendelep unasemaje?