Uwezo wa kudadavua mambo

Uwezo wa kudadavua mambo

Kuwa karibu na vyombo vya habari vya kimataifa na vya ndani....ukishakuwa na habari ni rahisi kuitetea
 
kawa wadau walivyokwambia soma sana vitabu tofauti tofauti kulingana na nn unataka kujifunza, kujichanganya na watu waliokuzidi uwezo ni muhimu sanaa.. na sio vitabu tu articles nk
 
Teh... Naona mdg etu anauliza hapa!
Nadhan ajitahidi kusoma
Aanze na Routledge series kwanza, akimaliza, nitamuazima vitabu vyote vya Harvard Classics, akimaliza nitamuazima vitabu vyote vilivyoandikwa na waliopata Nobel ya Literature, akimaliza nitamuazima vitabu vyote vilivyoshinda Pulitzer.

Akimaliza hapo alete mrejesho hapa.
 
Kuna kitu kinaitwa multiple intelligence ambacho kila binadamu anacho.kwa chache kina musical,logical,mathematical,interpersonal,intrapesonal,gymnastic,nk.Kwa hiyo kaka sio kwamba wewe huna akili au una uwezo mdogo.Kuna vitu vidogo ambacho unapaswa kuvirekebisha ili kukuza/kufufua vipaji na uwezo wako...............

SOma sana vitabu na hata humu JF.utapata maarifa.achana na vitabu vya shule,kuna vitabu vya maisha,vya kuongeza ujuzi wa kujua mambo mbalimbali,nenda jukwaa la JFstore kule utapata kila kitabu.
Ubarikiwe kaka,shukrani mnooo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Penda kusoma vitabu na kufuatilia mijadara mbalimbali kama ulivyosema hapo ya michezo, siasa nk

Hata kwenye mitandao ya kijamii fatilia kwa ukaribu hayo.

Huwezi kuwa mfatilia udaku wa insta 24/7 uje kuchambua siasa/michezo
 
Penda kusoma vitabu na kufuatilia mijadara mbalimbali kama ulivyosema hapo ya michezo, siasa nk

Hata kwenye mitandao ya kijamii fatilia kwa ukaribu hayo.

Huwezi kuwa mfatilia udaku wa insta 24/7 uje kuchambua siasa/michezo
Nimeanza kufanya hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom