Multdealer
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 226
- 233
Habari,
Mimi ni kijana mdogo kabisa, lakini kuna tatizo lina ni sumbua sana na si lingine bali uwezo mdogo wa kudadavua mambo, kama siasa, uchumi, michezo na mengineyo.
Huwa natamani sana kuwa mtu mwenye uelewa wa masuala kama hayo niliyo ya ainisha hapo juu, Lakini nashindwa.
Ningependa kupata ushauri kutoka kwenu ni mambo gani niwe nafanya kila siku kuanzia ahsubuhi hadi jioni yatakayo nipa uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mtu maarufu ninaye mtazama katika hili ni Ramadhan Mbwaduke, Natamani kuwa kama huyu mzee, yaani yuko fit kwenye michezo, siasa na masuala tofauti tofauti ya kijamii.
Nashukuru kwa muda wako,
Karibu kwa ushauri.