Elections 2010 Uwezo wa Katiba au Nguvu za CCM! Watanzania Wanaendelea Kuumia Wachache Wanaendelea!

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tunajua Uchumi wa Tanzania Haueleweki. Wananchi Wanaumia Sana Kutokana na Katiba ya Inchi Kutofanya Kazi kwa Manufaa ya Wananchi. Katiba ya Inchi Inazungumzia Usama na Haki za Kila Mtanzania Wakati Wachache Serikalini Wananufaika. Tuangalie Bill Zinavyoundwa Bungeni, Sheria za Bunge Zinaipa Power Wizara ya Fedha na Wizara Zingine Kutengeneza Bajeti na Matumizi na Kufunga Njia Zote za Kuzuia Bill Isikataliwe. Waziri wa Fedha na Serikali Wanakuja Bungeni Akijua Hakuna Atakaecheck na Kuuliza Maswali na Kulazimishwa Kuonyesha Records za Fedha za Kipindi Kilichopita Walitumiaje. Huo Huo Utaratibu wa Bunge Unamhusisha Raisi Katika Ubadilishaji wa Katiba na Utungaji Sheria za Inchi. Bunge Linaonekana Halina Nguvu Yeyote. Ni Wazi Wananchi Wanaumizwa na Bunge la Inchi Yao. Matatizo Yote ya Inchi Yanarudi Palepale Kwenye Chanzo: Katiba. Ukiangalia Uwezo wa Mishahara na Private Sector ya Inchi, Hakuna Mfumo Wowote wa Uchumi Unaoeleweka Zaidi ya Kucheza Deal Mitaani. Inchi Haiwezi Kuendelea kwa Wananchi Kupata Connections. We have to build strong constitution and private sector so all Tanzanians can enjoy the wealth. CCM is operating under theory of distributing wealth to CCM families and those who want to kiss their feet. Tunauhakika Bunge la Mwaka Huu Litakuwa Tofauti. Chadema Tunaweza Kuuliza Maswali Magumu na Kulazimisha Spika Kuruhusu Bill za Kurekebisha Katiba na allocation of funds in an open and befiticial to our country.
"Kuwa na Elimu na Kukubali Economic Policies Ambazo Zinaimaliza Inchi Yako ni Sawa na Kutosoma Kabisa. Tutanza Kuwanyanganya Wote Elimu na Uraia Wote Wanaofanya Makosa Miaka Nenda Rudi na Wale Wanaolinda Makosa Kama Vyombo vya Usalama"
 
Post yako ina ujumbe mzuri. Ukiifanyia editing ya paragraphs, wengi wataisoma na kuchangia.
Asante.
 
Sisiemu itakuwa imeonyesha ukomavu wa hali ya juu wa kisiasa kama wataongoza kuelekea direction ya kuleta Tume huru na Katiba kama ile ya Kenya!!!!!!!!!!!!!!! Lakini kuendelea kutetea na kushikilia tume ya sasa na katiba ya sasa itaelkeza kwenye mlipuko (time bomb)!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Sisiemu kuweni waungwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! msituletee balaa kama ile ya Rwanda, Burundi, DRC, nchi nyingi za Afrika Magharibi nk!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Post yako ina ujumbe mzuri. Ukiifanyia editing ya paragraphs, wengi wataisoma na kuchangia.
Asante.

Kweli kuna ujumbe mzuri na mzito ipangilie vizuri tu ni muhimu ikawa nyepesi kueleweka kwa wanajamvi, but BIG UP
 
Back
Top Bottom