Uwezo wa bundi kutambua kifo cha mtu

Uwezo wa bundi kutambua kifo cha mtu

hii atiko itakuwa na maana pindi nikisikia taarifa kutoka dodoma!vinginevyo huu utafiti ni feki
 
Safari Hii Vyombo Vya Habari Vimeruhusiwa Kuandika Hisia Za Ushirikina Mjengoni? Bundi Kaingia Je Akiingia Kunguru Haitaleta Mjadala? Hapo Mjengoni Wafuge Kunguru, Kunguru Na Bundi Hawapatani, Wakikutana Ni Mnyukano Tu. Ila Bundi Huadhibiwa Zaidi Na Kunguru.
 
Kila ambayo namfahamu alisema Bundi ni ndege wa kawaida tu siku waliopomshika Bundi alieanguka kutoka kwenye mti walilalamika hadi kwao wengine walizimia sasa sijui ni sababu ya umri wa shule ya msingi..ila kusema kweli mimi na bundi,popo na fisi sitaki maozoea ata ya kuwachukulia poa kama hawapo porini
 
Mkuu hebu kwanza tupe elimu vizuri maana hili swala ni "imani vs sayansi" hivi vitu mara nyingi vinapishana. Na huwa vinachanganya sana pia.
Inakuwaje Bundi apige kelele kwenye familia flani kijijini halafu mtu wa familia hiyo hiyo aishie mjini afariki?? hapo kanusaje sasa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ambayo namfahamu alisema Bundi ni ndege wa kawaida tu siku waliopomshika Bundi alieanguka kutoka kwenye mti walilalamika hadi kwao wengine walizimia sasa sijui ni sababu ya umri wa shule ya msingi..ila kusema kweli mimi na bundi,popo na fisi sitaki maozoea ata ya kuwachukulia poa kama hawapo porini
Hio story yako imenikumbusha kitu aise mwaka jana anko angu alianguka vibaya kwe korongo ni baada ya kumuona budi kumbe ana vitoto sasa wakati anavisogelea avione vizuri yeye anakuambia aliona giza tu amekuja kuzinduka kcmc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom