Uwezo (Strength) na Mapungufu (Weakness) wa Rais Magufuli

Magufuri wewe ni mbele kwa mbele hakuna cha weakness wala strength HAPA NI KAZI TU
Ila zidisha ukali kidogo nakuomba pia kwa vile wew upo mbali sana na sisi wadau wape meno wakuu wa mikoa ili waogopwe kama rais hapo inchi itaenda tuu ila ninacho kiamini mimi tunahitaji kiongoz gadi kama sadamu ili inchi iweze kwenda mbele.........
 
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-

Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.

Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.

Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.

Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.
Kwa kweli unahitajika sana Nchi ilikuwa kama danguro mbele mbele.
 
Anayofanya Mpaka sasa ni mazuri ila apunguze ukali uliokithiri mana watendaji wataogopa kwa kumsubiria yeye mana wakienda against ni kutumbuliwa. Good leader always anakuwaga shirikishi ana share na viongozi wake malengo ya nini kifanye. Ukali ukizidi napo unaweza usiwe solution mana uta create evils za kujificha. Pia uongozi yahitaji kuwa na hekima na busara sio kutisha watu mana ana create unnessesary enemies. Pia awe anaomba ushauri wa wataalamu mbalimbali na asikilize ski kretisaiziwa na wengine. Akiweza kutenda hayo na sio kutangaza hadharani itakuwa poa sana
 
Diva has spoken. Mr President sikiliza Ushauri wa Diva Beyonce. Wanaokusifia bila kukukosoa wanajipendekeza. Wanaokupigia makofi bila kukutahadhalisha wanakudhihaki. Msikilize Diva.
 
On
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-

Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.

Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.

Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.

Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.[/QUOTE Ongeza. Ana uzalendo.Hajaonyesha Tamaa kubwa ya Mali.Anatenda anachosema.Atakapo badilika tutasema kwa sasa bado mapema.
 
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-

Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.

Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.

Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.

Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.
itakuchukua miaka 100 kumwelewa magufuli
 
Kabla ujaeleza mapungu na uwezo wa Rais lazima ungalia yakwako kwanza. kwa nyani aoni kundule. JMP aendelea kwa na mapungufu yako na ubora wako, haupo kufurahisha watu upo kazini na fanya kazi yako unavyoweza kama wanataka perfect leader wakaombe ukimbizi wanakothani kuna rais wasiyekuwa na mapungufu. Be real
 
Leo nimesikia Mtu anaongea kwa uchungu kweli kuwa badala ya kupeleka pesa iliyopatikana kulipa malimbikizo ya mishahara anaenda kununua madawati na kutengeneza barabara.

isn't magufuli getting his priorities right?
Ulitaka upewe wewe housegirl
 
Kuna kiongozi na Meneja

Unaweza ukawa meneja mzuri sana lakini ukawa kiongozi dhaifu, na unaweza ukawa kiongozi mzuri sana lakini ukawa meneja dhaifu.

Mwalimu Nyerere alikuwa ni kiongozi mzuri sana, lakini hakuwa meneja mzuri
Mkapa alikuwa half-half , Kiongozi wa uzuri wa wastani lakini pia meneja wa uzuri wa wastani

Kikwete alikuwa ni bonge la kiongozi, lakini hakuwa meneja mzuri
(ndiyo maana alianzisha na pia kuendeleza mambo ya msingi sana kama mabarabara, shule za kata, umeme kila kijiji, demokrasia pana, kuwezesha kina mama, kujenga na kutransform vyuo vikuu, kujenga mkongo wa taifa, kuanzisha taasisi kama TCRA, kuboresha afya kupitia mpango wa malaria, kujenga vituo vya moyo, kupatikana kwa ARV, kutoa pesa za kiutafiti kupitia incubator programs za COSTECH, mradi wa kuvuta maji kutoka Ruvu chini, mradi wa gesi, madaraja makubwa kwa madogo, Diplomasia ya hali ya juu etc). haya mambo ni mfumo wa kitaasisi ambao tutaendelea kunufaika nao miaka hata miaka

hata hivyo usimamizi wake wa mambo haukuwa mzuri, ndiyo maana kuna wafanyakazi hewa, twiga wanatoroshwa, Watu wanaiibia serikali, safari zisizo na maana wakati mwingine, n.k

Mimi naamini kama serikali ya sasa Itajifunza Leadership techniques za Jakaya Kikwete kisha Ikachukua Manegement Skills za Raisi wa sasa Tutapiga hatua kubwa
Mkuu nimekuelewa sana
 
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-

Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.

Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.

Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.

Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.

Unamkosoa kwa sababu unamtakia Mema!?
Acha upumbavu wa kimagharibi ... Your just black a person
 
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-

Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.

Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.

Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.

Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.
NDUGU YANGU KWANGU MIMI UKALI SI MAPUNGUFU BALI STRENGTH NA MENGI KWENYE MAPUNGUFU KWA TULIPO FIKA KAMA NCHI YANAHITAJIKA NA NI STRENGTH. WATENDAJI WA KITANZANIA TULIPO NI KAMA NYANI, UKICHEKA NAO UNAKULA MABUA!!! SI UMEONA MWENYEWE MIBILLION YA PESA ZILIZO KUWA ZINAPOTEA!!!???
 
[emoji35] Humans.......always good in complaining......they talk even when they are suppose to keep silence and watch..........hatuna muda wa kufanya hayo mapendekezo ya hizo ulizoita weakness..........watendaji wengi katika serikali wanamizaha ambayo wewe na mimi kujiua ni hadi tuwe ndani ya ofisini. Mfano hili tukio la juzi la kutenguliwa ukuu wa mkoa wa mama ane kilango.......watu wesema maneno na hoja zisizo na mashiko ila wanasahau kuwa tabia aliyofanya yule mama ni ya kizembe sana unatoa majibu ya kisanii kwa swala ambalo linagusa maendeleo ya taifa sasa hapo kweli asikasirike.....ulitaka afanyaje........aunde tume kama enzi za mkwere ili hiyo tume iende ulaya katika hoteli ya kifahari ili kuchunguza tuhuma za mama kilango kwa muda wa mwezi kisha irudi na majibu ambayo hayatafanyiwa kazi......hebu acheni kuwa waongeaji kwa vitu msivyokuwa na uelewa navyo.........kama atatumia hasira...hatosikiliza mtu.......maamuzi ya haraka hiyo ni aina yake ya kuongoza haya makabrasha ya kikoloni kasome wewe uendelee kuwa mzembe wa kufanya maamuzi. [emoji35]

Si ninyi ndio wale wale mliosema kuwa ili tanzania iendelee tunahitaji rahisi atakaye kuwa mkali sana .....sasa tumempata mnaanza tena kuongea maneno hata sijui ya aina gani.....aaaaakh mnakera bana[emoji36] [emoji35] [emoji379] [emoji418] [emoji777] [emoji380] [emoji375] [emoji378] [emoji382]

NA SI HIVYO TU, WAKATI ANAWATEUWA RAIS ALITAMKA WAZI NINI ANATARAJI TOKA KWAO AKAELEZA SUALA LA MISHAHARA HEWA KAMA KIPA UMBELE KWAKE NA AKATOA SIKU 15 WAKUU WA MIKOA WAKAANZE NALO NA WAMPE RIPOTI. KWELI ASINGECHUKUWA HATUA HII WANGEMWONA HAMAANI ASEMACHO NA HATA MIMI NINGEFANYA VIVYO HIVYO. SASA WALIOPO WANAJUA RAIS TALK THE TALK AND WALK THE WALK.
 
Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.
4.Anapenda haki na usawa
5.Anaumia anapoona ubadhilifu
6.Anakelwa na rushwa
7.Ana hofu ya mungu.

Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana - ndo hulka za watu personality type A though hii sometimes ni situational unakuta site mkandalasi kaharibu mpaka anakela au mkoa mzima hauna watumishi hewa apo lazima uwakwe na hasira.Naona hii ni namna ya yeye kucontrol his temper and anger.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira- sometimes hii ni nzuri hasa kama issue imekuwa inachukua mda kusubiri mchakato uku wananchi wakiumia.Kwa kuwa ana jopo la washauri nadhani in some cases subira huitajika.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini - hii humtokea ila ukiwa na concrete facts na sio za kipigaji he can buy your idea though he belives kuwa he is always right which is wrong.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa - sometimes not always ndo maana aliruhusu uchaguzi wa mayor wa DSM uendelee,alipiga Kampeni pamoja na Mrema Augustine,kabla ya uraisi alijichanganya sana na akina Mbowe Mdee kwenye project za ujenzi wa barabara.Na ata kwa speech zake husisitiza watz ni wamoja.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa-I agree 100% apa Balozi Mahiga atakuwa msaada mkubwa kwake.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani - sometimes maana aliwai mpongeza makonda,Zitto though ni rare cases bse Tz ya sasa upigaji ni mwingi kuliko uadilifu.

Mtoa mada post imetualia nimefanya kuongeza nyama tuu
 
[emoji35] Humans.......always good in complaining......they talk even when they are suppose to keep silence and watch..........hatuna muda wa kufanya hayo mapendekezo ya hizo ulizoita weakness..........watendaji wengi katika serikali wanamizaha ambayo wewe na mimi kujiua ni hadi tuwe ndani ya ofisini. Mfano hili tukio la juzi la kutenguliwa ukuu wa mkoa wa mama ane kilango.......watu wesema maneno na hoja zisizo na mashiko ila wanasahau kuwa tabia aliyofanya yule mama ni ya kizembe sana unatoa majibu ya kisanii kwa swala ambalo linagusa maendeleo ya taifa sasa hapo kweli asikasirike.....ulitaka afanyaje........aunde tume kama enzi za mkwere ili hiyo tume iende ulaya katika hoteli ya kifahari ili kuchunguza tuhuma za mama kilango kwa muda wa mwezi kisha irudi na majibu ambayo hayatafanyiwa kazi......hebu acheni kuwa waongeaji kwa vitu msivyokuwa na uelewa navyo.........kama atatumia hasira...hatosikiliza mtu.......maamuzi ya haraka hiyo ni aina yake ya kuongoza haya makabrasha ya kikoloni kasome wewe uendelee kuwa mzembe wa kufanya maamuzi. [emoji35]

Si ninyi ndio wale wale mliosema kuwa ili tanzania iendelee tunahitaji rahisi atakaye kuwa mkali sana .....sasa tumempata mnaanza tena kuongea maneno hata sijui ya aina gani.....aaaaakh mnakera bana[emoji36] [emoji35] [emoji379] [emoji418] [emoji777] [emoji380] [emoji375] [emoji378] [emoji382]
Tena imeandikwa usinene yaliyo mabaya ya mtu; yatosha kuyatambua yaliyo mazuri ya JPM. Zaidi ya hayo kutamka mabaya ya kiongozi wako hadharani ni utovu wa nidhamu sawa na kuufunua uchi wa mzazi wako; demokrasia ni yetu lakini natuongee kwa kipimo na hekima
 
Duh mimi naogopa kusema mapungufu ya JPM nisije kufungwa bure,huyu anapenda kusifiwa tu kukosolewa hapendi.
 
UKISIKIA KELELE JUA JIPU LIMESHIKWA VIZURI VUMILIENI TU KIINI KITOLEWE. HAPA KAZI TU. SISI TUNAMUOMBEA ASIPUNGUZE SPEED ALIYOANZA NAYO
 
Back
Top Bottom