tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Bila kupepesa macho na kumung'unya maneno, Rais Magufuli ana Uwezo (Strength) na Mapungufu yafuatayo:-
Uwezo wake:-
1. Jasiri.
2. Mchapakazi.
3. Mfuatiliaji.
Mapungufu yake:-
1. Mkali/Ana Hasira sana.
2. Anakurupuka sana kufanya maamuzi/ Hana Subira.
3. Hapendi kukosorewa na kupingwa kile anachokiamini.
4. Hana ustahimilivu wa kisisa.
5. Hana stadi za Diplomasia ya Kimataifa.
6. Ni mgumu kumuamini na kumpongeza mtu hadharani.
Namna ya kuyamudu mapungufu yake.
1. Awe mkali kiasi.
2. Awe na Subira ya maamuzi.
3. Akubali kushauariwa na kupingwa anapokosea.
4. Ajifunze kuwaamini wasaidizi wake na kutoa motisha chanya.
5. Asome Vitabu vingi vya Uongozi, Siasa na Diplomasia kwa Ujumla.
Akiyafanya haya pamoja na Ule uwezo (Strength) zake, yaani Ujasiri, Uchapakazi na Ufuatiliaji, hakika atakuwa kiongozi bora.
Namkosoa kwa sababu namtakia mema. Simsifii kumjaza kichwa baadae aharibikiwe.

Humans.......always good in complaining......they talk even when they are suppose to keep silence and watch..........hatuna muda wa kufanya hayo mapendekezo ya hizo ulizoita weakness..........watendaji wengi katika serikali wanamizaha ambayo wewe na mimi kujiua ni hadi tuwe ndani ya ofisini. Mfano hili tukio la juzi la kutenguliwa ukuu wa mkoa wa mama ane kilango.......watu wesema maneno na hoja zisizo na mashiko ila wanasahau kuwa tabia aliyofanya yule mama ni ya kizembe sana unatoa majibu ya kisanii kwa swala ambalo linagusa maendeleo ya taifa sasa hapo kweli asikasirike.....ulitaka afanyaje........aunde tume kama enzi za mkwere ili hiyo tume iende ulaya katika hoteli ya kifahari ili kuchunguza tuhuma za mama kilango kwa muda wa mwezi kisha irudi na majibu ambayo hayatafanyiwa kazi......hebu acheni kuwa waongeaji kwa vitu msivyokuwa na uelewa navyo.........kama atatumia hasira...hatosikiliza mtu.......maamuzi ya haraka hiyo ni aina yake ya kuongoza haya makabrasha ya kikoloni kasome wewe uendelee kuwa mzembe wa kufanya maamuzi.