Upo sahihi hii TBS ingefutwa tu haina chochote wanachofanyaKwenye vifaa vya umeme na machinery, huko nako ni balaa. Kila duka zimejaa bidhaa za China, na kwa kukadiria, zaidi ya 70%, zina ubora hafifu kabisa.
Mamlaka zishughulikie hili jambo kwa haraka.Tzn sio dampo la bidhaa feki zinaua uzalishaji wa ndani.Leo hii Tanzania imejaa bidhaa nyingi zenye ubora duni zilizotengenezwa China na ndani ya Tanzania, na kwa kiasi kidogo toka India na Thailand.
Leo hii, ni rahisi sana kuikunja nondo ya 16mm iliyotengenezwa Tanzania kuliko nondo ya 12mm iliyotengenezwa Kenya. Mathalani, ukienda dukani kutaka kununua nondo ya 6mm, utaulizwa unataka 6mm nene (imetengenezwa Kenya) au nyembamba (imetengenezwa Tanzania). Unajiuliza, hivi
Huko kwenye nguo ni balaa,na wafanyabiashara wanaenda china wananunua bidhaa feki kwa bei za chini wanakuja kutupiga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yote tisa,
Kumi hujauziwa kadet nzuri ya kung'aa alafu ukiweka kwenye maji tu inageuka rangi, kama ilikuwa ya kijivu inakuwa nyeupe au njano
Sasa kaka unatenganishaje usalama wa mtumiaji na ubora wa bidhaa... Unaposema TBS wao wanaaangalia tu usalama wa mtumiaji wa bidhaa ila ubora au kudumu kwa bidhaa miaka mingi sio issue hapo unakuwa umechanganya mamboUmasikini wa watanzania ndio unafanya kuwepo na bidhaa duni sokoni, TBS hawawezi kukaza kwa 100% wanasiasa watawajia juu.
Fikiria TV zote madukani zingekuwa na bei za Samsung, LG n.k au simu zote zingekuwa na ubora na bei za iphones, watanzania wangapi wangeweza kumudu?
Kitu pekee ambacho TBS wanakizingatia kwa asilimia kubwa ni usalama / afya za watumiaji. Kwenye bidhaa suala la kudumu muda mrefu au la ni wewe na urefu wa mfuko wako.
Mwenye pesa kidogo nenda kariakoo kanunue tecno, kama zipo za kutosha nenda mlimani city kanunue iphone. The same kwa bidhaa nyingine zote.
Hata kwenye madawa ya binadamu (TMDA) fumula ni hiyohiyo, kuna paracetamol kutoka UK inauzwa 10,000 na kuna paracetamol ya zenufa inauzwa 100, ni wewe na wallet yako.
Nchi masikini hii ndugu, ebo!
Uwepo wa TBS na kutokuwepo, kwa kuangalia ubora wa bidhaa zilizopo.nchini, kama kuna utofauti, basi ni mdogo sana.Umenena vema, tiles za goodwill ni takataka kabisa,tiles zimepishana size madhalani tiles ya 40cmx40cm zimepishana zingine 40.2cm mpaka 40.3cm zingine ni 39.8cm.
Kwakweli sujui TBS wanafanya nini?
Hapana, zilikuwa zina mwaka toka zitengenezwe, hii Ni kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye tairi zenyewe.Mkuu ukiangalia manufacturering dates ya hizo tairi? Isije kuwa zilisha expire?
Tena za hapa nchini sijui hizo sample wanazochukuaga wanafanyia nini yaanUwepo wa TBS na kutokuwepo, kwa kuangalia ubora wa bidhaa zilizopo.nchini, kama kuna utofauti, basi ni mdogo sana.
Kama TBS wanashindwa kudhibiti vipimo tu vya tiles, ni nini tena wataweza?
Hapo umenena mtaalam.Kama tuna viongozi feki, unawezaje kushangaa bidhaa feki?