Uwezekano wa kupata mimba

Uwezekano wa kupata mimba

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,444
Ok naomba kuuliza, hivi vile vidonge vya uzazi wa mpango vinafanya kazi baada ya muda gani?

Naomba msinielewe vibaya, nimetembea na binti mtoto wa kiongozi wa serekalini tena chama cha upinzani. Sasa nilimsihi akanunue vidonge, yeye alienda kununua vile vidonge vipo 21 alafu vingine saba vipo tofauti, na alianza kutumia siku moja kabla hatujafanya ule uchafu na mpaka leo anatumia (ngono tulifanya ijumaa iliyopita)

Sasa mwezi uliopita aliingia period tarehe 18. Na mwezi huu leo tarehe 20 hajaona siku zake, pia amebadilisha mkoa.

Wakuu nimechanganyikiwa naomba kama kuna doctor nisaidieni kumtag nijue kama kuna uwezekano wa kuto kupata mimba

Nipo tayari kujibu swali lolote, hii nchi naiona chungu
 
"Mtoto wa kiongozi wa serikalini tena chama cha upinzani"

........Anasoma kidato cha ngapi?
 
Kwanini mliamua kutumia dawa?

Hapo danger yake kwa uelewa wangu iliisha tar 06/Au 7 ko Hamna uwezekano wa kupata mimba labda kama hizo dawa anazotumia ziwe zimebadilisha mzunguko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok naomba kuuliza , hivi vile vidonge vya uzazi wa mpango vinafanya kazi baada ya muda gani..?

Naomba msinielewe vibaya, nimetembea na binti mtoto wa kiongozi wa serekalini tena chama cha upinzani.. Sasa nilimsihi akanunue vidonge, yeye alienda kununua vile vidonge vipo 21 alafu vingine saba vipo tofauti, na alianza kutumia siku moja kabla hatujafanya ule uchafu na mpaka leo anatumia ( ngono tulifanya ijumaa iliyopita)

Sasa mwezi uliopita aliingia period tarehe 18 .. Na mwezi huu leo tarehe 20 hajaona siku zake.... pia amebadilisha mkoa..

Wakuu nimechanganyikiwa naomba kama kuna doctor nisaidieni kumtag nijue kama kuna uwezekano wa kuto kupata mimba

Nipo tayari kujibu swali lolote, hii nchi naiona chungu

mkuu usipanick, mwanbie akafanye UPT then ndio ujue cha kufanya...
 
Hapo UPT ukicheki lazima isome mistari miwili.
Inshort the girl is pregnant!
Hongera sana Mkuu.

Sent using my 6x6 bed.
 
Pole vidonge vya majira huwa vinakuwa na homoni maalum ...kwa ajil ya kuzuia utungisho kwa mwanamke....

Anapomeza huwa vinaanza kufanya kazi kwa ufanisi masaa 72

Angemeza p2 baada ya sex mimba isingeingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole vidonge vya majira huwa vinakuwa na homoni maalum ...kwa ajil ya kuzuia utungisho kwa mwanamke....

Anapomeza huwa vinaanza kufanya kazi kwa ufanisi masaa 72

Angemeza p2 baada ya sex mimba isingeingia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo hapo imeingia? Na alianza kumeza siku moja kabla?
 
Back
Top Bottom