Uwezekano wa kufanyika uchaguzi October ni mdogo sana

[JFMP3][/JFMP3]
Kama aling'atuka rafikiye ambaye hawakukutana barabarani itakuwa Pinda mkuu!

issue siyo urafiki mkuu,assume umeoa mke a kwanza baada ya miaka 2 umempiga talaka halafu unadaka wa pili miaka miwili talaka,mkuu hapo hakuna wa kukutetea lazima wewe mwenyewe uwajibike kuonesha tatizo si hao wanawake tatizo ni wewe sasa kuwajibika kwa huyu bwana ni kukubali mtu mwingine amsaidie tu maaana akioa mke wa tatu hakuna heshima hapo ataonekana ni tatizo tu
 
Eeer...aaaah.....eeeer...may be....labdaa.
Hapo naona umeongea logic, ila uhalusia sivyo. Hawa jamaa hawawaogopi watanzania, bali wanaogopana wao kwa wao.
 
hahahahahhaaaaaaaaaaa yule ni kiongozi wa nchi ni vyema akatibiwa ulaya kama jk N raisi wa mwanzo mbona yeye walipeleka uingereza kutibiwa akaja hapa amewekwa kwenye jokofu, hivyo viongozi wa nchi ni vyema kutibiwa juu magharibi

huyo prof lema yeye n wa hapahapa alinganishwi na kiongozi amirijeshi wa nchi ndo maana walipeleka huko nje kutibiwa, kwani angeona madudu haya walllahi angezimia
Kimsingi hatuna rais, tezi dume kitu gani? Prof Lema mbona anafanyia hapo muhimbili na kesho yake wanarudi makwao na kurejea baadaye kuondoa nyuzi? Niseme tu kwamba jk ni mhuni na serekali ni ya kihuni huni tu.
 
Hili naliunganisha na kauli ya Profesa wa Kichina aliposema kuwa amechoka anatamani kurudi kijijini kuchunga ng'ombe wake.
 
hahahahahhaaaaaaaaaaa yule ni kiongozi wa nchi ni vyema akatibiwa ulaya kama jk N raisi wa mwanzo mbona yeye walipeleka uingereza kutibiwa akaja hapa amewekwa kwenye jokofu, hivyo viongozi wa nchi ni vyema kutibiwa juu magharibi

huyo prof lema yeye n wa hapahapa alinganishwi na kiongozi amirijeshi wa nchi ndo maana walipeleka huko nje kutibiwa, kwani angeona madudu haya walllahi angezimia
we endelea kujipigilia make up haya tuachie sisi siyo saizi yako bibie
 
Hili naliunganisha na kauli ya Profesa wa Kichina aliposema kuwa amechoka anatamani kurudi kijijini kuchunga ng'ombe wake.

Aende wapi? Ameikongoroa nchi na matapeli aliyoyateua yeye, halafu anataka kukimbia?
Ahakikishe fedha zetu zote kuanzia EPA's, Dowans na IPTL zimerudi ndo arudi Msata!..
Kwa ni hajaona mahabusu wamelazwa muhimbili na pingu?
Ugonjwa wake is non of our businesses!
 
siyo kubwabwaja ni hesabu rahisi tu tatizo umeamua matusi mimi sipo huko mkuu au unadhani nimekula mlungula wa escrow hata kwa ncha siwezi fika huko parefu sana kwangu

Hah mi nilidhani una taarifa za kiintelijensia kuhusu hilo kumbe ni mahesabu yako binafsi kutokana na ripoti ya Escrow,kwa heli!
 
Hah mi nilidhani una taarifa za kiintelijensia kuhusu hilo kumbe ni mahesabu yako binafsi kutokana na ripoti ya Escrow,kwa heli!

sasa unataka habari nyeti niweke humu we elewa hivyo ngoma ndiyo imeanza subiri ndani ya masaa 48 halafu nitafute
 
Back
Top Bottom