Chimile 255
Member
- Nov 17, 2022
- 17
- 15
Hao wanataka hadi ile amri ya kuwa tafuta hospitali na vituo vya polisi itolewe na huko mji kasro bhahaari itolewe?du! hao mwanakulitafuta
Wanakuja wengi na mapangaWatu wa Moro mashosti sana, vipanya road ndio vitu gani, piga ua mende hao
Itolewe kwa kweli hatuna amani na Tanzania yetuHao wanataka hadi ile amri ya kuwa tafuta hospitali na vituo vya polisi itolewe na huko mji kasro bhahaari itolewe?
Bora itoleweHao wanataka hadi ile amri ya kuwa tafuta hospitali na vituo vya polisi itolewe na huko mji kasro bhahaari itolewe?
Sawa maana amani imepotea tunahofu na maisha yetuAiseee, ngoja nifuatilie hilo.
Asante na wanakuja mapema tu sana hatujui tufanye nini amani imepoteaMoro na panya road, poleni sana
Nani kathibitisha hicho kifo? Wewe ni msemaji wa jeshi la Polisi? Waache polisi waongee wao wenyewe. Huenda marehemu alimezwa na mamba akiwa bafuni anaoga.JamiiForums tafadhari fuatilieni taarifa za Morogoro Kihonda kumekuwa na vijana nyakati za usiku wanagonga nyumba za watu ukifungua wanaiba na kushambulia watu kwa mapanga.
Inasemekana ni panya road. Mabalozi wa mitaa wametupa taarifa wananchi hatuna amani.
Hali imezidi kuwa Tete hakuna amani wapendwa kumechafuka mpaka sasa wameua mtu mmoja.
Ndo maana katika post yang nmeomba ili swala lifatiliwe kwa undani sababu ata mabalozi wa mitaa wameshatutangazia Hali ya hatari pia nyumbani kwangu juzi usiku wamekuja na wamegonga bahati nzuri nilikua nimefunga milango kutokana na tahadhari niliyopewaNani kathibitisha hicho kifo? Wewe ni msemaji wa jeshi la Polisi? Waache polisi waongee wao wenyewe. Huonda marehema alimezwa na mamba akiwa bafuni anaoga.
Au umesahau risasi iliyo mpiga Akwilina ilivy Rica juu, kisha ikaanza kufuata main road hadi ikaisubiri daladala kituoni, na daladala lilipofika ikamfuata Akwilina
Eti hamjui mfanye nini...Wake up man. Jipangeni fasta kwa umoja wenu wakifika muwape show moja ya kibabe na muondoke na 3-5 kesho hawatorudi tena. Acheni kulia-lia hapa. Uwezo mnao, nia mnayo na sababu mnayo. Mkibweteka eti kusubiri polisi mtakaa sana. Malizeni hiyo hoja chap.Asante na wanakuja mapema tu sana hatujui tufanye nini amani imepotea