Uwekezaji wa DP world na wengine kwa Mama

Uwekezaji wa DP world na wengine kwa Mama

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,269
Reaction score
13,895
Yaani hiyo package wenyewe wanapata nini
 

Attachments

  • f07d896a-ddc9-46cb-969a-ae202e0a3767.mov
    6.9 MB
Hawa waliojiunga zamani mbona huwa ni wastaarabu? wataletaje virus?

Mkuu hali si hali imebidi nije kujibu huku maana washafunga comments kule
I am astonished with your "lazyfair" mood!

ukweli ni mchungu ila serikali nyingi ndo zilivyo kunakua na watu hawana vyeo ila wameshika ushawishi,

Sio kama naisypport hiyo hali ila ndo likely uhalisia wenyewe
 
Back
Top Bottom