Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,073
- 1,563
Habari wakuu.
Nyumba hiyo inauzwa ipo Tandika Sokoni inaukubwa wa sqm 350.
Hii nyumba ina jumla ya Frem30
Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo hizo Frem za mbele kodi yake ni sh.150,000.hizo za ubavuni pia kodi yake ni sh.100,000.na zandani kodii sh.70,000.hakuna Frem iliyokuwa wazi zote zina watu hivyo vyoo unavyoviiona ni vyakulipia kwa siku vinaingiza sh.80,000.mpaka sh.100,000.inategemea na mzunguuko wa watu kazi hii ni nzuri sana haswa kwa yule Tajili mfanya biashara yani pesa yake anaitaji izunguuke hapa ndio mahala pake mmiliki ni mmoja.
Nyumba ina Hati
Bei milion Tsh 350
Nipigie simu 0754693556